Country Boy - Ilibidi Uwe Wewe paroles de chanson

paroles de chanson Ilibidi Uwe Wewe - Country Boy



RoofTop audio station
Uuhhhhh...
Yeah yeah yeah eee
Yeah yeah yeah!!!!!!
Mara ya kwanza nilikufata ukanidharau
Pengine labda ulikamatwa na washika dau
Mara nyingine nikaleta zawadi ukanidharau
Na kuniita kapuku ilo siwezi nikasahau
The women of my life (my life)
The women of my life (my life)
Ilibidi uwe wewee (ilibidi uwe, ilibidi uwe, ilibidi uwe)
Ilibidi uwe wewe (ilibidi uwe, ilibidi uwe, ilibidi uwe)
Ilibidi uwe wewe uwe uweee uwe uweeee
Ilibidi uwe uwe uwe uweee uwe uweeee
(Yule boy)
Ilibidi uwe!!!!
Mambo mengi najiuliza
Mengi yameniumiza
Ulitaka utamu bila kufahamu kwamba unatoka kwenye gizaa
Mashoga zako ukawaskiliza
Na mtaani sasa am not a
Bata za kupitilizaa
Now you try kuigizaa
Ilibidi uwe hapa
Ulichotaka ushakipata
Cheza cheza kwenye topee
Chafu chafu kama bataa
Mbona sasa una suffer
Kila pande unanisaka
Pole Usha pokonywa tonge limemezwa na msaka
Uwe uwe uwe uwe uwe uweee
Uwe uwe uwe uwe uwe uweee
Ilibidi uwe wewee (ukanidharau)
Pengine labda ulikamatwa na washika dau
Ilibidi uwe wewee (ukanisahau)
Na kuniita kapuku ilo siwezi nikasahau
The women of my life (my life)
The women of my li... fe (yeiehh eehhh)
Ilibidi uwe wewe(ilibidi uwe, ilibidi uwe, ilibidi uwe)
Ilibidi uwe wewe (ilibidi uwe,ilibidi uwe, ilibidi uwe)
Ilibidi uwe (wewe uwe uwe uweee)
Ilibidi uwe wewe
Uwe uwe uwe uweee
(The women of my life)
Ilibidi uwe, ilibidi uwe, ilibidi uwe
Ilibidi uwe eehhhh
Ilibidi uwe wewe uwe
Women of my life
Ahaa ahhh
Women of life aah women of my life yaaah yaah
Women of my life yeeah
ILIBIDI UWE WEEE



Writer(s): Ibrahim Mandingo


Country Boy - Yule Boy
Album Yule Boy
date de sortie
15-11-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.