Country Wizzy - Far (feat. Harmonize) paroles de chanson

paroles de chanson Far (feat. Harmonize) - Country Wizzy



Countrywizzy na tembo once again ehehe
(Country Wizzy)
Nshawahi kupenda ila we ni too much (we ni too much)
Na ninaihisi nachelewa mama im coming back (im coming back)
Anayajua mapenzi utasema mapenzi ndo yeye,
Anajua kuitega mitego najileta mwenyeweee,
Can you bieleve me (baby)
Mwenzako nataka mapenzi
Nwenzako jua sijiwezi
Bieleve me im inlove with you babe yeeh
Ananipeleka peleka farr farr far
Ananipeleka peleka farr (repeat)
(Harmonize)
Ananipeleka far far far
Anatetemeka kama anakifafa
Anataka ni faaaaa faaaaaa
Kalala kifo cha mende mtoto kama kafa (iiiih)
Atakucheat siwez kabisa ye ameniganda sumaku,
Tena tunapiga na mapicha picha kesho kwa page za udaku
Snapchat,tiktok
Tunakomesha tu wanoknok
Kitu iko safii soap soap
Basi anavoilamba kama lolpop
Can you bieleve me babe
Mwenzanko nataka cha mkwezi
Ita ndinga uje mbezi uje na vitu flan vya utelezii far far far
Ananipeleka peleka farr farr far
Ananipeleka peleka farr (repeat)
(Country Wizzy)
Nikikosea ntakuplease gal,
Yes bieleve me gal,
Mgari kama roli umezimika
Utamu wake taa inapozimika what me say
Bid bang bang bang
Namkalia kwa chini nimkolezee
You got da ting mama nko nikomelee
You got da ting mama nisogee ayiii
(Country Bridge)
Ananipeleka peleka farr farr far
Ananipeleka peleka farr (repeat)
Im glad i met you ammy this beat is
Crazy man yiii kondegang for everybody yeeh
You cant bieleve it aaah (laugh)
Yule boy gadafi and im too real safii



Writer(s): I.a. Mandingo


Country Wizzy - The Father
Album The Father
date de sortie
25-09-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.