paroles de chanson Leo - Jux , Darassa
Hello
its
me
again
Mr
Burudani,
take
away
the
pain
Pole
kwa
kuchelewa
si
unajua
foleni
Nawapa
vidonge
kutuliza
complain
Kichwa,
sijabeba
kama
pambo
Akili,
nimetega
kwenye
chambo
Fullu,
charge
na
fullu
bundle
Ukileta
usoo,
unawekwa
kando
Ana
maseke
ukitete
Muulize
ila
kama
mapepe
Mtulize,
sema
naye
Oooh
aaah
eeeh
Oooh
aaah
eeeh
Kama
uliibiwa
cheche
Imekuwa
kasheshe
Huwezi
kuzuia
mvua
wacha
inyeshe
Sema
nao
Oooh
aaah
eeeh
Wadeseke
Oooh
aaah
eeeh
Utaua
ua
bure
sijalala
Nimeficha
tu
makucha
Huku
ndani
ndo
kwanza
kumekucha
Vunja
mifupa,
waulize
nani
kaachiwa
bucha
Leo,
kama
ni
kishindo
tingisha(leo)
Kama
ni
mzuka
pandisha(leo)
Kama
ni
maji
mwagika(leo)
Kama
ni
mnazi
katika(leo)
Kama
ni
kishindo
tingisha(leo)
Kama
ni
mzuka
pandisha(leo)
Kama
ni
maji
mwagika(leo)
Na
kama
ni
mnazi
katika(leo)
Kama
pochi
limechanika
Speaker
zinakita
Mbona
hapata
chimbika
leo,
yeah
yeah
Mamacita,
take
a
picture
tunahakikisha
leo
(Leo,
leo,
leo,
leo)
Eeeh,
waweke
walete
mpira
kati
Nimeondoka
kidogo
tu
vagaranti
Niko
online,
nataka
kuchati
Am
not
finishing,
am
just
getting
started
Mazungumzo
baada
ya
habari
Cheza
mbali,
maana
hali
sio
shwari
Jichanganye
kama
kachumbari
Chumvi
mpaka
kwenye
chai
hii
ya
leo
kali
Umebugi
step
ebu
cheki
cheki
If
am
not
mistaken,
umegeuza
gazeti
Ukitaka
kazi
ya
jeshi
Don't
forget
hakuna
kuku
petty
petty
Ana
maseke
ukitete
Muulize
ila
kama
mapepe
Mtulize,
sema
naye
Oooh
aaah
eeeh
Oooh
aaah
eeeh
Kama
uliibiwa
cheche
Imekuwa
kasheshe
Huwezi
kuzuia
mvua
wacha
inyeshe
Sema
nao
Oooh
aaah
eeeh
Wadeseke
Oooh
aaah
eeeh
Kama
ni
kishindo
tingisha(leo)
Kama
ni
mzuka
pandisha(leo)
Kama
ni
maji
mwagika(leo)
Kama
ni
mnazi
katika(leo)
Kama
ni
kishindo
tingisha(leo)
Kama
ni
mzuka
pandisha(leo)
Kama
ni
maji
mwagika(leo)
Na
kama
ni
mnazi
katika(leo)
Kama
pochi
limechanika
Speaker
zinakita
Mbona
hapata
chimbika
leo,
yeah
yeah
Mamacita,
take
a
picture
tunahakikisha
leo
(Leo,
leo,
leo,
leo)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.