Deborah Lukalu - Tenda (Live) paroles de chanson

paroles de chanson Tenda (Live) - Deborah Lukalu



Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba
Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba
Hakuna mwingine kimbilio langu
Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba
Hakuna mwingine Baba wa wajane
Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba
Mungu ni shefu (shefu)×14
Shefu (wa mataifa yote) ×14
Alitenda mambo makubwa
Wanadamu hawakuelewa (tenda tenda tenda)
Tenda eh Baba tenda
Tenda eh Baba tenda
(Mungu wa uzima)
Tenda eh Baba tenda
(Baba wa wajane)
Tenda eh Baba tenda
(Iyo yo yo yo oh)
Tenda tendaa .
Ni wa uwezo ni wa ushindi
Ni muweza yote kweli ni muumba wetu
Watoto tunasala (tumepata kwa neema)
Masomo tunaweza (tumepata kwa neema)
Diploma uko nayo (ulipata kwa neema)
Kuimba unaimba (ulipata kwa neema) .
Huyu Mungu wetu (anasema anajibu)
Ni muweza yote
Hallelujah ni Muumba wetu .
Wa milele wa milele Mungu wa Baraka ni Yesu
Wa milele wa milele Mungu wa Baraka ni Yesu ×4




Deborah Lukalu - Call Me Favour Live Recording
Album Call Me Favour Live Recording
date de sortie
04-11-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.