Des - Maisha Poa paroles de chanson

paroles de chanson Maisha Poa - Des



Des, eh sema nana na
Yesu nipe, maisha poa
Ewe nipe, maisha poa
Ooh niwe poa (poa)
Pia me niseme poa (poa)
Ooh niwe poa (poa)
Pia me niseme poa (poa)
Ndotoni niliotea, vitu fulani
Mmm, maishani nikategea, pale kivukoni
Mmm, Mwishoni sijafikia, niko pembeni
Mmm, mtaani tu kumezea, bila mapeni
Maisha moto kunichomea
Na majirani kunionea
Mabeste kaniondokea
Ju pengine sijatokea
Yesu lainisha, Iwe kabisa
Ningumu fanikisha, iwe kabisaa
Yesu nipe, maisha poa
Ewe nipe, maisha poa
Ooh niwe poa (poa)
Pia me niseme poa (poa)
Ooh niwe poa (poa)
Pia me niseme poa (poa)
Bila kupata, hivyo naona
Mmm, siku ya kupata bado kuiona
Na hali ya kuishi, imevuta utata
Yangu tu kuishi, kuna siku ntapata
Eeeh Yesu niko chini
Unipe kusheherekea
Isibaki lakini, Yesu nipe kuendelea
Yesu lainisha, iwe kabisaa
Ningumu fanikisha, iwe kabisaa
Yesu nipe, maisha poa
Ewe nipe, maisha poa
Ooh niwe poa (poa)
Pia me niseme poa (poa)
Ooh niwe poa (poa)
Pia me niseme poa (poa)
Owaah, iwe poa
Owaah, iwe poa
Yesu ifanye poa (poa)
Maisha iwe poa (poa)
Yesu ifanya poa (poa)
Maisha iwe poa (poa)
Yesu nipe, maisha poa
Ewe nipe, maisha poa
Ooh niwe poa (poa)
Pia me niseme poa (poa)
Ooh niwe poa (poa)
Pia me niseme poa (poa)
Yesu lainisha, iwe kabisaa
Ningumu fanikisha, iwe kabisaa



Writer(s): Desmond Kamwana


Des - Maisha Poa
Album Maisha Poa
date de sortie
10-01-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.