paroles de chanson Unanifaa - Dez
Ah
Ni
kweli
nataka
kuongea,
nataka
kushare
No
lying,
no
spying
ka
vipi
sogea
Ni
kama
series
haitokoruka
on
air
Alfajiri
mwanga
ukitaka
tokea
I
got
the
feelings
na
wewe
ndo
unachochea
Ushaniteka
mwili
sa
zinafata
hisia
girl,
I
wanna
know
you
i
wanna
play
with
you
I
wanna
saw
you
on
the
mountain
dew
When
I
sleep
what
I
dream
is
you
You
make
me
shoot
make
me
think
of
you
Usiwe
mchoyo
baby
nipe
nafasi,
Twende
leo
tugonge
cheers
kwa
glass
Nifungue
moyo
niridhishe
nafsi
Ukitaka
toyo
me
nakupa
farasi
baby
Huwezi
jua
nishaona
wangapi
maybe
Tuweke
clear
tusipoteze
bahati
lady
Kama
sphere
tuzunguke
kwa
chat
na
Nishatupia
zawadi
zako
kwa
gift
mama
Sio
kwa
valentine
baby
unavyoshine
Nice
color
pia
nice
combination
Sio
kwa
gugu
sio
juju
I
got
stuck
ulivoumbika
do
do
Sio
kwa
smile
sio
kwa
jicho
Sio
kwa
dimple
mamy
kila
kitu
unacho
Me
sio
fala
nikupende
hata
kwa
macho
Bila
kura
fanya
kunivuta
kwako
Sio
snura
me
nakupenda
ka
recho
ma
Bila
kura
fanya
kunivuta
kwako
Ni
kweli
unanifaa
we
ni
kweli
unanifaa
me
Ni
kweli
unanifaa
we
ni
kweli
unanifaa
me
Njoo
mamy
girl
nipande
nawe
kila
njia
Njoo
nikuite
love
then
nikuite
malkia
Njoo
mamy
girl
nipande
nawe
kila
njia
Njoo
nikuite
love
then
nikuite
malkia
Ni
kweli
unanifaa
we
ni
kweli
unanifaa
mi
Ni
kweli
unanifaa
we
ni
kweli
unanifaa
mi
Njoo
mamy
girl
nipande
nawe
kila
njia
Njoo
nikuite
love
then
nikuite
malkia
Njoo
mamy
girl
nipande
nawe
kila
njia
Njoo
nikuite
love
then
nikuite
malkia
Ni
kweli
unanifaa
Ah
You're
my
secret
weapon
fahari
ukiwepo
Usipokuwepo
nakumiss
kila
season
You're
the
reason
kunifanya
nahustle
Then
our
life
still
life
goes
on
Ah
Sio
kwamba
sioni
me
kipofu
kwako
Siwasikii
nasikiza
wimbo
wako
Japo
sielewi
kwamba
me
ni
nani
kwako
Ila
sichelewi
kuitika
kila
uniitapo
Hujanitia
njaa
ah
wala
tamaa
Umenifanya
simple
lakini
daily
nang'aa
Ah
cheki
nasogeza
saa
kila
kukicha
Nawaza
ni
Wangapi
verse
zao
kwako
wameshusha
Ah
jua
umeyumba
umenasa
vumba
hukupata
Mchumba
amepata
cheki
nawaza
mpaka
dole
nang'ata
Kitu
cha
kweli
ni
kwamba
kwako
Nimedata
Ushanifanya
silly
kwa
vile
umenikamata
This
is
really
kwamba
nimekupata
Ama
ndo
madili
pindi
uvunjapo
pakacha
Mamy
let's
stay
together
in
all
weather
I
got
shoot
for
them
far
like
Mayweather
Hold
me
then
I
hold
you
forever,
then
I
hold
you
Forever
Ni
kweli
unanifaa
we
ni
kweli
unanifaa
me
Ni
kweli
unanifaa
we
ni
kweli
unanifaa
me
Njoo
mamy
girl
nipande
nawe
kila
njia
Njoo
nikuite
love
then
nikuite
malkia
Njoo
mamy
girl
nipande
nawe
kila
njia
Njoo
nikuite
love
then
nikuite
malkia
Kweli
unanifaa
we
ni
kweli
unanifaa
mi
Ni
kweli
unanifaa
we
ni
kweli
unanifaa
mi
Njoo
mamy
girl
nipande
nawe
kila
njia
Njoo
nikuite
love
then
nikuite
malkia
Njoo
mamy
girl
nipande
nawe
kila
njia
Njoo
nikuite
love
then
nikuite
malkia
Ni
kweli
unanifaa
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.