Diamond Platnumz feat. Zuchu - Raha (feat. Zuchu) paroles de chanson

paroles de chanson Raha (feat. Zuchu) - Zuchu , Diamond Platnumz




(Ay, Ayo Trone)
Embe parachichi ndo utamu wa penzi lako
Mm-mm na kwangu hauachiki
Mm-mm na wataniua sitoki kwako
Mm-mm nishakuvesha taji
Bingwa wa kazi yako unaipatia
Mm-mm na ninapokosea we ndo judge
Nifunge hata maisha nitakutumikia
Mm, mambo pikiji pikiji twajisosomola
Penzi si la kienyeji viwango vya dola
Mnaotuma vimeseji mnataka kunipora
Ananionesha baby mjue nawachora
Ooh-ooh eti nikikuona
Ooh-ooh naona raha mbona
Ooh-ooh eti nikikuona
Ooh-ooh naona raha mbona
Niliishe chukuchuku ya tunguri paja
Hesabu za mwili unirudishe na shule ada
Utaanza na nini, kula ndo ule labda
We sema mimi nisasambule jaja
Mm, oh moyo nakupa moyo
Baby, oh, moyo pokea moyo
Aah, oh, moyo nakupa moyo
Baby, oh, moyo pokea moyo
Mambo pikiji pikiji twajisosomola
Penzi si la kienyeji viwango vya dola
Mnaotuma vimeseji mnataka kunipora
Ananionesha baby mjue nawachora
Ooh, ah, eti nikikuona
Ooh, ah, naona raha mbona
Ooh, ah, eti nikikuona
Ooh, ah, naona raha mbona
(Kamix Lizer)



Writer(s): Zuhura Othman Soud


Diamond Platnumz feat. Zuchu - Raha (feat. Zuchu) - Single
Album Raha (feat. Zuchu) - Single
date de sortie
05-10-2024



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.