paroles de chanson Haunisumbui - Diamond Platnumz
Si
kokoko
si
kandambili,
yani
vyote
havikupendezi
Mwana
ngoko
usionawili,
tope
bin
uterezi
Utaishia
kututabiri
tubomoke,
inasonga
miezi
Mola
amesha
takabiri,
usijichoshe
livunjiki
penzi
Ona!
Umekosa
nuru,
umekosa
bahati
huna
Unaitwa
kunguru,
ukifika
wananuna
Ndondondo
mwana
chururu,
asie
buzi
wataka
chuna
Mengine
nisikufuru
Hhmm!
Hazikukai
maskara,
wala
makeup
zinakushuka
Uso
umekuparara,
mwili
shockup
zimetenguka
Uso,
sauti
ya
Stara,
pakudeka
unawehuka
Jibwa
koko
la
Mbagala,
unabweka
na
kubwetuka
wala!
Wala
haunisumbui
wala!
Wala
haunisumbui
wala!
Wala
haunisumbui
wala!
Wala
haunisumbui
wala!
Na
izo
post,
mara
kubebana,
mara
eti
mnabusu
mtamaliza
bando
Unaowatuma
kunitukana,
siogopi
mashushu
mi
wala
michambo
Kutwa
kwa
ma-page
feki
kama
Lokole
inahusu?
Mkwe
akutaki
eti
mwenzangu
pole
mbona
kuntu
Vimeseji
kujitumisha
kwa
ndugu
zangu
marufuku
Nyota
imekufubika,
usifosi
umaarufu
Upepo
wa
kisulisuli,
umekuchukua
na
nuksani
Tanga
Lipulipuli,
wanakununua
kwa
mizani
Kwangu
pambe
shughuli,
najiashua
burudani
Nna
toto
zurizuri,
nimelitua
tuli
ndani
yi
yi
yi
hi
Umekosa
nuru,
umekosa
bahati
huna
Unaitwa
kunguru,
ukifika
wananuna
Ndondondo
mwana
chururu,
asie
buzi
wataka
chuna
Menginе
nisikufuru,
usie
wa
Shaba
wala
Chuma
Wala
haunisumbui
wala!
(Hamunikondeshi)
Wala
haunisumbui
wala!
(Mujipost
mainstagram)
Wala
haunisumbui
wala!
(Hamunitetеreshi)
Wala
haunisumbui
wala!
(Waalaah)
(Waasafi)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.