Diamond Platnumz - Nataka Kulewa paroles de chanson

paroles de chanson Nataka Kulewa - Diamond Platnumz



Ayaaaaaa
We niache niende niende,
We niache niende niende,
Mhhhh Usiniulize kwanini, Sababu utanizinguaaa
Ukitaka jiunge na Mimi, Kama ni pesa we kunywa nitanunua
Mi mwenzio sikuamini, Nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ndo mimi, Ninayetunza kumbe wenzangu wanachukua
aaah oooh mapenzi, Mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibayaa
Mie siweziya walionikuta niache niseme Jina, Ohh Mapenzi, Mapenzi yalinifanya kama
mtoto nilie vibayaa na nina mengi,, Yamenijaaa moyoniiiiiiiiiiiiiiii!
Ehhh nataka kulewa(Lewaaaa)
Mi nataka kulewa (Lewa) nataka kulewa (Lewa)
Zikipanda nimwage ya radhi
nataka kulewa(Lewaaaa)
Mi nataka kulewa (Lewa) nataka kulewa (Lewa)
Zikipanda nimwage ya radhi
Ayaaaaaayayayaaa
We niache niende niende
We niache niende niende
Nipo Mapenzi Maskini, Kamvisha na pete kwa kumuoa,
Kukata Vilimi limi vya wazushi wanafki waliompoonda
Kumbe mwenzangu na mimii, Ni bure tu najusumbua
Si tupo kama ishirini, Mabuzi viny'asti vingine akawaongaaa
Ooooh mapenzi, Mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibayaa
Mie siweziya walionikuta niache niseme Jina, Ohh Mapenzi, Mapenzi yalinifanya kama
mtoto nilie vibayaa Na nina mengi,, Yamenijaaa moyoniiiiiiiiiiiiiiii!
Ehhh nataka kulewa(Lewaaaa)
Mi nataka kulewa (Lewa) nataka kulewa (Lewa)
Zikipanda nimwage ya radhi(Oooooooohh
nataka kulewa(Lewaaaa) (OoooooJiraniiiiii)
Mi nataka kulewa (Lewa) nataka kulewa (Lewa)
Zikipanda nimwage ya radhi
ayaaaaaayayayaaa
we niache niende niende
Share
1



Writer(s): diamond platnumz


Diamond Platnumz - Nataka Kulewa - Single
Album Nataka Kulewa - Single
date de sortie
12-12-2014





Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.