Diamond Platnumz - Simba paroles de chanson

paroles de chanson Simba - Diamond Platnumz



Imeandikwa kukata tamaa ni dhambi
Ata kama ukilala na njaa jitahidi
Si unaona yule anacheka kesho utakuta
Analia
Wengine kula yao kuteseka kutwa nzima
Kutanga na njia
Mi nikipata kidogo huaga namshukuru Mungu
Maana kwenye riziki hapakosi mizozo
Kuzibiana riziki mafungu
Eeeh nikipata kidogo huaga namshuruku Mungu
Maana kwenye riziki hapakosi mizozo
Kuzibiana riziki mafungu
Eeh na kama imepangwa ipo ooh
Ipo ipo ooh
Najapo tunapitia mapito ooh
Mapito pito ooh
Tamaa tamaa
Naamini sitokata tamaa
Tamaa tamaa
Naahidi sitokata tamaa
Tamaa tamaa
Naamini sitokata tamaa
Tamaa tamaa
Naahidi sitokata tamaa
Matatizo ni mengi
Nashida ndio zimetawala aah
Wanabomoa sijengi
Biashara yangu kutwa hasara aah
Navumilia aaah
Itafika tu riziki ni mafungu saba
Japo magumu napitia aah
Nishike mkono nisianguke eeh Mungu Baba
Bado sina ninacho kitaka ndio maana nakazana
Nimezama kina muziki ni hustle nazidi kupambana
Eeh na kama imepangwa ipo ooh
Ipo ipo ooh
Najapo tunapitia mapito ooh
Mapito pito ooh
Yashinde majaribu yako ooh
Yako yako ooh
Ya leo sio ya jana
Endelea kupambana inawezekana
Tamaa tamaa
Naamini sitokata tamaa
Tamaa tamaa
Naahidi sitokata tamaa
Tamaa tamaa
Naamini sitokata tamaa
Tamaa tamaa
Naahidi sitokata tamaa
Nijaribu mie
Nijaribu kwingine
Kukata tamaa no no no no oo



Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack


Diamond Platnumz - Simba - Single
Album Simba - Single
date de sortie
20-08-2020

1 Simba




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.