Diamond Platnumz - Ukimwona paroles de chanson

paroles de chanson Ukimwona - Diamond Platnumz



Mungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sina budi nilewe
Siwezi kung'ang'ania maana sio fungu langu
Japo ni shida ila nitabaki mwenyewe
Ila mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
Mwambie mi bado mahututi, nauguza kidonda changu
Na asisikie hasirani, mwambie mapenzi mabaya
Hata angali hai Kairuki, asingetibu gonjwa langu
Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)
Sina amani ninasaga rhumba (rhumba)
Ah unanidunda dunda
Sema chine tembee, moyo
Unanidunda dunda (mummy moyo)
Sina amani ninasaga rhumba (oh mimi)
Unanidunda dunda
Eeh, ukimwona, ukimwona
Ukimwona, ukimwona
Ukimwona, ukimwona
We nenda umwambie marafiki, marafiki wabaya
Tena wengi waongo, wala wasimdanganye
Oya ni mashoga, rafiki, oh marafiki wabaya
Oh, mmh
Tatizo mi bado nilipoteleza nikakosa sipajui
Mpaka akafunga virago na akaamua kuondoka sitambui
Mbaya kinachoniumiza, maneno, neno, maneno
Mara kwa ndugu, rafiki, kwa nini anawapa misemo?
Na ajaribu papasa maana kwa macho hataona chochote
Ila ndo kutwa mikasa na ninazidi kuanguka, niokote
Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)
Sina amani ninasaga rhumba (rhumba)
Ah unanidunda dunda
Sema chine tembee, moyo
Unanidunda dunda (mummy moyo)
Sina amani ninasaga rhumba (oh mimi)
Unanidunda dunda
Eeh, ukimwona, ukimwona
Ukimwona, ukimwona
Ukimwona, ukimwona




Diamond Platnumz - My Number 1
Album My Number 1
date de sortie
31-07-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.