Diamond Platnumz - Unachezaje paroles de chanson

paroles de chanson Unachezaje - Diamond Platnumz



(Lady's and Gentlemen
, Now the moment you all
Been waiting for, the
World famous...)
(Eeh) (Zonbie-yo)
(Aka) Mfukoni nina kiti (mati)
Mkunoni kai (mati)
Nasikia kuna kiki (wapi)
Niije kujimwaga (kati)
(Chii) Oooh haitoshi, kalitaka
Simba la baba kaletewa
Oooh my gosh, sasa
Kazima anataka kubebewa
Oooh haitoshi, kalitaka
Simba la baba kaletewa
Oooh my gosh, sasa
Kazima anataka kubebewa
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unachezaje
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unachezaje
Ilikuwa mbili 4 4, pale pale (pale
Pale)
Dawa ya show show
Nahisi lale (nahisi lale)
Peleka vuta, taratibu sio kwa pupa
Dereva shusha hapo, mbele
Kwenye kuta
Huu ni mti gani (wa Mchongoma)
Ukiukata (haukatiki)
Si ni mti gani (wa Mchongoma)
Wakitukata (hatukatiki)
Sasa waonyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje u
Nachezaje
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unacheza
(Asa) Popolipolipopopopopolipolipola
Popolipolipopopopopolipolipola
Popolipolipopopopopolipolipola
Waambie chombo (kinapepea)
Eeh chombo (kinapepea)
Huwaga chombo (kinapepea)
Aah weeh
Acha
Aah weeh
Huo mnazi (unakatika)
Mnazi (unakatika)
Mama mnazi (unakatika)
Ona mnazi (unakatika)
Ukitaka kukatika (hukatika)
Kati kati (kati kah)
Huo mjumba (unabomoka)
Mjumba (unabomoka)
Mama mjumba (unabomoka)
Ona mjumba (unabomoka)
Ukitaka kubomoka (hubomoka)
Bobo bobo bobo bobo bobo boh
(Kamix lizer)




Diamond Platnumz - Unachezaje - Single
Album Unachezaje - Single
date de sortie
15-12-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.