paroles de chanson Nobody is safe 4 - Dizasta Vina
Somebody
gotta
die
today
(Ringle
this
one's
classic
men)
Ah!
Haters,
Haters
Nimekuja
kuwapa
msongo
wa
mawazo,
mi'
ni
pay
cut
Nilikotoka
bingwa,
Ila
jamii
imeshiba
sana
ujinga
That's
the
reason
I'm
not
famous
Haters,
haters
Nimekuja
na
uthibitisho
your
favorite
rapper
is
lame
ass
An
Orthrodox
delivery,
since
way
back
Kama
K-Dot,
look
my
bar
game
is
A-plus
Ushasikia
kua
maemcee
wanatisha
sana
(Waongo)
Nilipofika
walifikiria
kuhama
(Bongo)
Logo
ni
chafu,
mgongo
na
mbavu
Mbombo
ni
ngafu
napotingisha
alichonipa
mama
(Ubongo)
I
eat
people
Nyoko
kila
ukinifata
ume-beep
kifo
Wanamaabara
walinikata
nika-bleed
vito
Infinite
sign
sifiki
mwisho
ndio
naanza
Uh!
Na
huu
ni
mfano
wa
ma-group
saba
ya
wezi
Nyoko
hata
ukiwa
Sugu
hapa
hauchezi
Waulize
makada
natema
ngumu
sana
haumezi
Utaishia
kuomba
msaada
kwa
Mungu
baba
mwenyezi.
Bless
Ah
Eyoo
sicheki
na
wapuuzi
Nipo
OG
emcee
si-dress
na
mapuli
Kesi
ni
ya
Shakespeare,
Tenzi
mia,
bongo
mpaka
UG
Ma-emcee
hawanipendi
kama
nduli
Nasimama
kama
Eiffel
Tower
naangaza
jiji
Ambalo
nipo
tangu
ma-star
wa
bongo
hawajaanza
kiki
Kabla
vimbelembele
hawajaenda
nyuma
Nika-lay
low
bendera
ya
chuma
mlingoti
wa
chuma
Mi
ni
zigi
ninayeficha
stimu
mtaani
wananijua
kama
mshindi
Sauti
ya
mamlaka
napoamua
hawapingi
Kama
anavyoamua
mdingi
kwenye
vikao
vya
dharura
Imesheheni
Medulla,
vingi
navijua
na
siringi
jamaa
Kikatili
ninapoisafiri
mento
Ni
mfano
wa
jangili
waliemkabidhi
beto
Wanabadili
nyenzo,
napojadili
angles
tofauti
Kama
nabii
jinsi
nnavyoitabiri
kesho
Ah,
Sijui
mwisho
ila
najua
niende
wapi
Mtaa
umeniita
wito
niitike
niitende
kazi
Nakomaa
sio
simple,
licha
ya
kusemwa
na
wasengenyaji
Nageuka
kifo,
idea
inayofanya
mkakeshe
church
Ah!
Asili
kama
masai
na
lubega
Wastani
wa
sukari
unaofanya
chai
inapendeza
Sauti
ya
umma
natangaza
rai
inaeleweka
Naishi
uswazi
ila
natema
yai
kama
vegan
Ma-code
ya
ki-programmer,
Nani
wa
ku-compare
Ball
player
nadondosha
record
pro
kama
NBA
athlete,
Level
soo
sana
Controversial
kama
September
eleven
na
Osama
Ah,
Sina
makuzi
ya
kubuni
vyama
Sivumi
kama
trending
za
leo,
emcee
naishi
future
Ila
nna
maufundi
tangu
jana
Napitwa
na
upuuzi
maana
maufundi
yamejazana
Bahati
mbaya
yamezibwa,
wanadhani
ni
adimu
Madini
yamefanywa
siri
kama
marking
scheme
Nami
sipigi
magoti
sizitaki
hizi
team
Nachotaka
ni
mishkaki
na
ndimu
Nirumangie
ma-emcee
maana
sijala
tangu
juzi
nina
njaa
kali
Ninalea
wanafunzi
na
madaftari
yao
Wanageuka
wakufunzi
kwenye
mahafali
Kichwa
kimetapakaa
books
kama
library
Style
yangu
ime-inspire
the
culture
Ime
inspire
the
Nengos,
the
Shaulins,
the
Nachas
The
Boshoos,
the
Killers,
the
Maarifa,
the
Rapchas
Nimeacha
DNA
hata
nikidanja
sina
deni
tena
Master...
ah,
Na-move
ka'
Cobra
Simba
wa
Teranga
alafu
nina
nguvu
zaidi
ya
Drogba
Natengeneza
pesa
kwa
ufundi
niliojenga
bure
Mtaani
naishi
kiswazi
utadhani
sijaenda
shule
My
game
plan
is
a
mystery,
kama
aliyemteka
Mo
Na-change
gear
from
hero
to
superhero
From
defense
to
stiker
mode
See,
now
you
see
me,
now
you
don't,
peek
a
boo
My
pen
game's
impeccable
Forget
the
rest
I'm
a
true
rival
Mnaimba
matusi
sana
kwa
maana
bongo
zenu
ni
too
idle
My
next
bar
is
a
cheat
code
no,
my
last
bar
is
the
cheat
code
Every
bar
is
too
vital
Tulia
mwaya
hapa
wabaya
wana-worship
Ni
vile
wanaona
haya
ku-report
kwamba
wanataka-retire
Siwezi
kwenda
sawa
na
wanaizaya
wanaonigwayagwaya
Huku
wana-inspire
gossip
Sound
amplified
and
so
the
message
Look,
street
verified
legend
(And)
No
crown
on
my
head
Ask
around
I'd
be
claimed
by
the
crown
King
of
underground
literally
I'm
down
to
the
earth
Shuhudia
master
kazini
Amesimamisha
kichwa
kinamwaga
madini
Amekuja
na
mada
ya
kufunga
chapter
makini
Halafu
yuko
huru
dhidi
ya
siasa
na
dini
Emcee
nimeketi
mahala
ukweli
umesimama
Kwa
kina
kirefu
meli
zilizosheheni
zinazama
Nimejificha
ka'
kibabu
cha
imani
Moyoni
sina
hila
nimezika
vitabu
kichwani
Panorama
taifa
langu
Nimeketi
soldier,
Verse
moja
Nashusha
flows
za
aina
tatu
Na-change
styles
ka'
zinazompa
faida
changu
Mi
ni
toleo
la
mwisho
la
viumbe
wa
aina
yangu
Ah,
Kuanzia
Mangloozi
mpaka
Mwanza
Naonea
nyangumi
na
mapapa.
Naonea
ndezi
Narusha
vitu
kwenye
anga
vinapaa
kwa
mbawa
Wakati
mrushaji
nipo
chini
kama
Air-base
Mfano
wa
mundu
au
beto
Emcee
mtundu
kwenye
mento
Facts
zina-shout
beyond
your
reasonable
doubt
Naishi
kwenye
dimension
ambayo
miungu
tu
ina-settle.
uh!
Hii
si
ya
kutoka
chimbo
hii
Hii
ni
gene
pool
si
ya
kuita
nyimbo
hii
Hii
si
ya
kupiga
disco
hii
This
one
is
legendary,
will
go
down
in
a
history
Media
wanaogopa
nyimbo
zangu
kama
nudity
Contents
zinawarudisha
drawing
board
kama
new
desease
Just
let
the
game
change
Prof
you
can
retire
now,
'cause
the
game
is
in
my
safe
hands
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.