paroles de chanson My Life - Dogo Janja
Lalalaa
lelelee
am
living
my
life
×4
Thank
you
Lord
Baba
na
mama
wamenileta
kwenye
dunia,eeh
Thank
you
Lord
for
the
life
japo
kuna
mengi
ninapitia
eeeh
Unaecheka
nae
kwenye
raha
kwenye
shida
atakupa
jeraha
Pindi
yakiegeuka
masaa,kizuri
kinakua
kinyaa
Aliyekua
rafiki
atakuona
mzigo
Una
nyumba
gari,unauza
genge
mabibo,
Au
bebe
bebe
unaemtoa
dinner,
Pesa
zikiyumba,
"kaa
mbali
wewe
kima"
Lalalaa
lelele
eeh
am
living
my
life...×4
Kitambo
mi
nachana
zaid
ya
wanyamwezi
Mtaongea
sana
nyie
ma
young
hamniwezi,
Nazidi
kupenga
kisa
stress
mpaka
totoroo
Nawanyima
chakula
mwaka
huu
mule
magodoro
Ku
rap
mi
ni
mkali,style
na
mitindo
Muulize
madee
Ally
alivonikutaga
chombo
Nilikua
naosha
magari
leo
namiliki
bingo,
Aiseeh
mi
ni
mkali
ona
nalichapa
fimboo...
Rafiki
wa
kweli
moyo
wangu
eeyyaaah
ooohhh
Lalalaa
japo
niko
peace
na
wanangu
yyeeaahh
"Don
mess
up
with
my
life"
Lalalaa
lelele
eeh
am
living
ma
life
×4
Nanina
siiririri
leo
sina
thamani
eeh
Bora
nile
chale
na
Mulungu
wane
Familia
yane
na
vazazi
vane
Mjukulu
wa
mbote
yani
namba
moja
Japo
wanasema
mengi
lakini
mi
siongei
I
think
baada
ya
leo
yaweza
kuja
better
day,
Ndan
ya
week
nauza
simu
seven
days
kama
hauna
kazi
piga
goti
tu
pray
Karibu
A
city
utoe
tongotongo
Jiji
la
matijiri
halinaga
longolongo
Msomi
niki
wa
pili
mi
niliachaga
makongo
Arusha
ngare
naro
kwenye
ramani
ya
mbongo...
Lalalaa
lelele
eh
am
living
my
life
×4
Ambae
anajua
kesho
yake
anyooshe
kidole
juu,,,,,
"No
One
Knows
Tomorrow
"
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.