Dogo Janja - Ukivaaje Unapendeza paroles de chanson

paroles de chanson Ukivaaje Unapendeza - Dogo Janja



Manzese music baby beee
Oyaaaaaa
Oyaaaaaa
Oyaaaaaa
Oyaaaaaa
Ukivaaje unapenda we
Nikipiga zile full track, utawaka sana eeeh
Ama pensi suruali beili black, baby utatoka kinyama... Ukivaaje wee
Ivi ndivyo nilivyo me, ninavyo ninavyo vaaah
Kwa machafu likizo me; sinaga ustar
Nipo simple simple sana me; eebwana raha
Napenda kuliko wote apa Dar
Nina sifa za dully sykse; jinsi za kubana eeh
Simboni ama machoni glass; sio kama jana eeh
Nilivaa suruali, suti ya spesho, navaaa pamba kali,
Sirudii kesho,
We unavaaje utokelezee, ukikosea kodi utatoka kama mzee
Ukivaaje unapendeza
Ukivaaje unapendeza
Ukivaaje unapendeza
Ukivaaje unapendeza we



Writer(s): Dogo Janja


Dogo Janja - Ukivaaje Unapendeza
Album Ukivaaje Unapendeza
date de sortie
18-05-2017




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.