Dulla Makabila - Dua paroles de chanson

paroles de chanson Dua - Dulla Makabila



Aya Rabbi takabari dua Amina
(We don kiwango)
Ya Rabbi itikia dua Amina
Ya Rabbi takabari dua Amina
Ya Rabbi itikia dua Amina
We kila siku me naomba dua
Irudi tena Yamoto Band
Na namuombea Harmonize
Asimcopy diamond
Roma naona hajakoma
Naomba atekwe tena
Harmo rapa azae na wema
Na manfongo abahatishe tena
Shoro mwamba ache kuimba anitazamie mbwa nyumbani
Mondi amtibie ruge yaishe wawe kama zaman
Rayvanny arudi Tip Top maana kule ndo nyumbani
Kiba ashinde diamond karanga apige picha Hadharani
Basi ya Rabbi takabari dua
Nakuomba itikia dua
Ya Rabbi takabari dua
Mi nakuomba itikia dua
Basi ya Rabbi takabari dua
Nakuomba itikia dua
Ya Rabbi takabari dua
Mi nakuomba itikia dua
Yani dua langu dura lipenye
Likafike mpaka Temeke
Mkubwa Fella na kusemwa kote
Kukuza vipaji asichoke
Dua lisiishie hapo mpaka kwa Majizo lifike
Apeleke singeli internationaly
Na sisi tuheshimike
Dua lifike kitandani alipo lala Mwarabu
Fighter
Kila akivuta shuka ahisi Nasibu anamwita
Dua lipenye mtandaoni tupate kustajabika
Kwenye page ya Mbosso Khani
Nione Rukia kachafuka
Dua kwa baba chong′e lisije nikamkorofisha Baba
Aaah Dulla kaleta barua, aaah barua ikarudishwa
Dua kwa Dimpozi Omary
Afya izidi kujengeka
Aje atoe ngoma nyingine Baba, Steve
Nyerere azidi kuuguka
Basi ya Rabbi takabari dua
Nakuomba itikia dua
Ya Rabbi takabari dua
Mi nakuomba itikia dua
Basi ya Rabbi takabari dua
Nakuomba itikia dua
Ya Rabbi takabari dua
Mi nakuomba itikia dua
Nani mwenye kamera anipige mafoto
Nauliza nani mwenye kamera achukue
Video
Wanangu nani mwenye kamera anipige
Mafoto
Wemakizube nani mwenye kamera achukue
Video
Waitee, nauliza nani nani (humo humo)
Nani
We mtupisi nani nani (nani)
We siso nani nani, nani nani
Kidete nani nani, nani nani
We jito la mtunga meno ya duka
Jito la mtunga meno ya duka
Analiona jito la mtunga meno ya duka
Mamamama we jito la mtunga meno ya
Duka
Wakiinama wanatamani maji ya kisima
Wakiinuka wanatetemeka mwili mzima
Wakiinama wanatamani maji ya kisima
Wakiinuka wanatetemeka mwili mzima
We tetema mwili mzima (tetema) mwili
Mzima
We tetema mwili mzima (tetema) mwili
Mzima
Jiachie mwili mzima (tetema) mwili mzima
We jirushe mwili mzima (tetema) mwili
Mzima
Basi twende niwaambie, niwaeleze
Wanangu niwaambie, niwaeleze
Haya maji ya kunywa, tunauziwa
Ya kwa dumu tunapewa bure
Mamamamama wika
Haya maji ya kunywa, tunauziwa
Ya kwa dumu tunapewa bure
Haya kila mtu acheze kivyake
Acheze kivyake
Kila mtu aruke kivyake
Aruke kivyake
Basi piga goma, weka goma
We nasiso piga goma, weka goma
We mwanangu piga goma, weka goma
Wanangu wa Magomeni Kagera
Wananiitaga King Makabila



Writer(s): Dulla Makabila


Dulla Makabila - Dua
Album Dua
date de sortie
13-02-2019

1 Dua




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.