ETHIC - Fyeka paroles de chanson

paroles de chanson Fyeka - ETHIC

Hapa bana Nima knockout kaa finally na uwanga Basi bongi kaa Niko
Ndani juu me uwa bubu sana sana kaa Niko kazi tayari wanadai ati
Me ni mfunny na nko sure joh fyeka akichecha aah fyeka akichecha ...
Hapa bana Ni...
Chuma ilale ndani chunguza kajaba chai ikibaki nikidunga ndege juu Ni
Kaki cheki kina Mercy Cici lucky zungusha maaga leftie right nachrki
Mamy nilikukudirty zimeshika zimerunda
Nikunasty kumejaa 2 Moshi na wanatii...
Hapa bana Nima knockout kaa finally na uwanga Basi bongi kaa Niko
Ndani juu me uwa bubu sana sana kaa Niko kazi tayari wanadai ati
Me ni mfunny na nko sure joh fyeka akichecha aah fyeka akichecha ...
Nipate ndani ya ghetto joh msupa c hami nguna akirombosa mguze ndani
Kwa ndani Niko daro nimenyanya ifikie wazazi ju nishapiga joke story
Ya nyaru sitaki twende dada twende dada chora Saba aah twende Kaka
Twende Kaka mguze ndani ya A-A vile
Anakatika bos a aah mguze ikus ikus ...
Hapa bana Nima knockout kaa finally na uwanga Basi bongi kaa Niko
Ndani juu me uwa bubu sana sana kaa Niko kazi tayari wanadai ati
Me ni mfunny na nko sure joh fyeka akichecha aah fyeka akichecha ...

Writer(s): Ethic Music

ETHIC - Fyeka - Single
Album Fyeka - Single
date de sortie
11-08-2019

1 Fyeka

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.