Eddie Higgins Trio - God Rest Ye Merry Gentlemen paroles de chanson

paroles de chanson God Rest Ye Merry Gentlemen - Eddie Higgins Trio



Haya mapenzi sio sumu nakwmbia wee, unielewe mmm,
Nilikotoka wengi washanikimbia wee, nimebaki na wewe mmm,,
She is just a friend,
Atabaki rafiki tu she is just a friend, mapenzi nae Siwezi, mh ayiaiya, raha zako zote nitakupatia utamu ndani nje nitakutunzia, we Ndo my beiby baby girl,
Ni weweee ×2
I love you for the rest of my life,, ni wewe ×2
I love you for the rest of my life,
Aaa, aaa, yeiye yeiye,
Every time when I look to your eyes i see the fire line, fire ×2
She is just a friend, Atabaki rafiki tu she is just a friend, mapenzi nae Siwezi, mh ayiaiya,
Raha zako zote nitakupatia,
Utamu ndani nje nitakutunzia,
We Ndo my beiby, Baby girl,
Ni weweee,×2,
I love you for the rest of my life,
Ni weweee ×2,
I love you for the rest of my life,
Babron ah,
Nimezunguka kila kona ya pande za dunia, nilivyofika sijaona, sijapona,
Nikaona Siwezi mpa demu umalikia, sichezi game siuzi mechi kwa wapita njia,
Na rafiki demu sipigi ndefu nayeteka hisia,
Ila tatizo wewe penzi lako,
Nilaze kwenye hospital ya mapenzi yako,
Bebito mamito, linda penzi lako kuwa kama mlinzi nalinda nyumba yako,
Mali zako, watoto wako, heshima yako, usipagawe na dunia ya tamaa na uongo,
Kwepa mbali sikendo,
Umbeya na Madonna,
Cheza mbali na vijana wa flavor za bongo,
Kaa nami ishi nami usijali michongo,
Nitapata kesho na kesho nitatumia,
Vumilia mtoto special kati ya wengine Mia, nakuimbia
I love you for the rest of my life,
Stay record let's go,
Ni weweee ×2
I love you for the rest of my life,.
Aaa aaa aaa yeiye yeiye



Writer(s): Traditional, Eddie Higgins


Eddie Higgins Trio - Christmas Songs
Album Christmas Songs
date de sortie
26-08-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.