Essence of Worship - Tunaleta Sifa paroles de chanson

paroles de chanson Tunaleta Sifa - Essence of Worship




Wewe ni Mungu
Hakuna mwingine wa kuabudiwa
Unastahili sifa zote
Wewe ni Bwana aah
Tunaleta sifa zetu kwako
Maana wewe ndiwe Mungu mkuu
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana
Tunaleta sifa zetu kwako
Maana wewe ndiwe Mungu mkuu
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Kazi yako ya msalaba
Yanifanya kuwa salama
Usifwe Yahweh
Upendo wako wa milele
Umenifanya niendelee
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Halleluyah Yahweh
Halleluyah Yahweh



Writer(s): Essence Of Worship



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.
//}