Fid Q - Fresh paroles de chanson

paroles de chanson Fresh - Fid Q



Nikipata cash. nakua FRESH kama cucumber
Nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba
Kwenda resi sioni kesi Mr Ku-banda yakijiset. sikwepeshi naweka juu chanda.
Niko FRESH kula FRESH ile FRESH ya shamba
FRESH maujanja.WAWESH ile FRESH inabamba. FRESH kinanda.haukeshi kama hauko FRESH umesanda.
Ji-reFRESH zaidi ya MESSI akiwa na mechi ya kandanda aah
FRESH kama january 1st
Sio NJAAnuary. huacha vision iko blurry ikuchoshe
Jedwali-ikuumize. mishe sio zali hauna noti
Kisha umentali ujivishe. ubishe. february utoke. FRESH kama pipi ya mint. pipi ya binti. au p-p ile P P ya lift
P ya please au FRESH ya PF3 ya polisi?
Iko weird. unaweza ingia na wakazuia release.
FRESH
FRESH ka(MA)BAGA
FRESH kama PRINCE wa BEL AIR
Ninazidi panda
Oooh,.BABY!!!!
Silverfox kama BARABUU au WANDIBA
Ninaitwa BOSS na nina-ball kama BABANGIDA
FRESH off the boat niko ZANZIBAR
Ninai-smell KARAFUU nikiwa na CANDIBAR
Na washikaji kama WADIDADI. HAS T na HARD MAD
Hautaki hii? BARIDA
Trapped in me au LODIDODI
Ki-Slick rick. sio CANNIBAL au SWIZZ BEATS
6 feet. Playa bila limp kama BIZKIT
Yes please. sio Netflix ni 3D sio HD
Sexy na sio HB FRESH hii. sio kesi Fid SWAG? mie ndo main switch hauwezi snitch
Hautaki? uliza Mbezi beach au bounce
Nikiwa resi au speed. nina dress like shit (lakini) mie ndio best wa ku-spit hapa town aah
FRESH
Niko FRESH kama movers & shakers
Mjuba sijazeeka. zinaitika dili kubwa ninacheka Nasikika FRESH nikiongea kama PESA ya KAMPENI Hivyo sio FRESH nikipotea kama PESA ya MADENI
Hauutaki uzee na unatamani kuishi milele?
Sio KESI
Unataka Upedeshee na mtaani hauna kelele?
Sio FRESH. ha ha haaa...
FRESH



Writer(s): Fareed Kubanda


Fid Q - Fresh
Album Fresh
date de sortie
13-08-2017

1 Fresh




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.