paroles de chanson Neno - Fid Q , Lord Eyez
Changanya
akili
ya
kuelezwa
na
unachokifahamu
vyema
Ukweli
uwe
mchungu
kumeza
na
uwe
mtamu
kutema
Wengi
(wengi
mlibebwa)
Okay
nipe
tena
Changanya
akili
ya
kuelezwa
na
unachokifahamu
vyema
Ukweli
uwe
mchungu
kumeza
na
uwe
mtamu
kutema
Wengi
mlibebwa
mgongoni
hamwezi
ujua
umbali
wa
safari
Naomba
mnaponiskia
redioni
nisome
kwa
hii
mistari
Naufamisha
ufahamu
kabla
ya
ku-rhyme
juu
ya
beat
Namwagika
damu
hii
kalamu
haishikiki
Bado
wana
bang
'Huyu
Na
Yule'
na
'DotCom'
kwenye
street
So
ukiniona
com
ujue
na-overcome
hits
Nahitaji
stripes
kwenye
sneakers
trees
kwenye
boots
Ili
muwe
live
kwenye
speakers
mi
nasikika
hata
ukini-mute
I
got
lyric
pointed
that
you're
half
a
star
Another
one
it's
pointed
at
your
weakest
heart
Ile
sauti
uisikiayo
ndani
ya
moyo
wako
ndo
inaitwa
kweli
Na
salute
poa
ni
ile
ya
adui
yako
sio
ya
kijeli
Ina
tofauti
na
ile
ambayo
mchizi
wako
akiona
hujafeli
Hata
mauti
nayo
ufichua
maradhi
yake
ukiwa
mwisho
wa
reli
Mwenye
akili
hawezilalama
ikiwa
ni
mjinga
tu
ndo
aliwae
Mkatili
ana
raha
kinyama
na
anaamini
Mungu
yuko
nae
Mna
sell
out
na
hamfanyi
soo
the
concert
Simshangai
Saidi
Fella
ku-change
fani
ili
atoke
Hawamaanishi
wanachosema
au
kuongea
vyenye
maana
Haya
maandishi
nayotema
yakipotea
ujue
una
laana
Huu
sio
mziki
wa
Maybach
sio
mziki
wa
mafleva
Sikwaziki
ka
payback
sitishiki
mi
brave
heart
I'm
talking
keys
like
way
Charles
kwa
A
bars
Mastaa
wana
dead
kwa
fans
naketi
juu
ya
throne
Fid
Q
hawamwoni
huyu
ni
Yuda
na
Lui
Vuitton
Lord
is
born
neno
Ilishanenwa
toka
Afrika
hamnaga
siri
hamnaga
siri
Naeza
ficha
Rock
City
Ilishanenwa
ka
kawaida
hamnaga
shida
hamnaga
shida
Ndani
ya
Dar
au
A
City
Ilishanenwa
toka
Afrika
hamnaga
siri
hamnaga
siri
Naeza
fanana
na
A
City
Ilishanenwa
ka
kawaida
Hamnaga
shida
hamnaga
shida
utata
ukuda
Tuache
tu-spit
hizi
words
out
ah
wanawira
Wasanii
wengi
empty
huku
sio
kusema
mbwira
Kill
love
chillax
usinipe
dili
ila
Naomba
uchukue
ili
neno
na
msituite
tena
killers
Word
yeah
Izzy
una
hasira
Hizi
sio
hasira
hizi
ubati
kwetu
mila
Flow
desturi
ku-hustle
pia
ni
mila
Hela
hela
kila
kitu
ni
hela
Dabu
wa
kiaina
hila
ndume
la
kuwila
Hela
hela
masela
na
mamwela
Hizi
sio
zama
zile
hapendwi
mtu
anapendwa
hela
Wametuzidi
kwa
majungu
lakini
sio
fungu
Hilo
wanapeana
kindugu
hilo
ni
tatizo
sugu
Win
win
win
jiacheni
kaa
juu
ya
mbingu
Ball
till
we
fall
hakuna
mechi
tunashindwaga
sisi
Ilishanenwa
toka
Afrika
hamnaga
siri
hamnaga
siri
Naeza
ficha
Rock
City
Ilishanenwa
ka
kawaida
hamnaga
shida
hamnaga
shida
Ndani
ya
Dar
au
A
City
Chongo
hushukuru
Mungu
anapomuona
kipofu
Ma-emcee
wa
uongo
hawana
gundu
wana-hit
nangoma
mbovu
Lia
chakula
ndani
ya
chungu
Harusi
yako
itakuwa
na
mvua
Mdogoni
ulikuwa
mtundu
Utakuwa
na
maujanja
ukikua
Kata
adui
unaemmudu
Ni
vyema
umuombee
dua
Kwa
yule
Mungu
unaemuabudu
Ili
aendelee
kukuumbua
Kwa
kupitia
yeye
kuna
mengi
utayajua
Na
huo
ndo
ukweli
wenyewe
ambao
hata
wewe
haukuutambua
Washikaji
wengi
ni
wanafki
ka
kamasi
ndani
ya
pua
Usipowatoa
wanaganda
wanaziba
nafasi
ya
kupumua
Na
ukikohoa
wanatanda
usoni
ili
usijione
unajua
Njaa
sio
tamu
kama
asali
Na
mkono
mtupu
haulambwi
Weupe
ungekuwa
mali
Ubuyu
usingepakwa
rangi
Say
my
name
say
my
name
I'm
sure
you
know
my
name
Niite
Godson
kama
Nas
Nas
yes
I
am
Nawapa
neno
wanadata
they
know
who
we
are
Wanaojua
sheria
msumeno
ndo
hutulia
Hey
Mr
DJ
jamii
ielimike
Tupe
mdundo
mmoja
tuwape
neno
watu
waruke
Tusiwanyime
chakula
chao
tutawafanya
wawehuke
Hizi
ndo
bidhaa
zinafanya
mziki
uinuke
Siku
hizi
pesa
haiongei
pesa
inaapa
Utu
umeshuka
bei
thamani
ya
pesa
imepanda
Kama
dunia
ni
shule
maisha
yetu
ni
darasa
Msijifunze
kuhusu
huyu
na
yule
halafu
sisi
mkatuacha
Ilishanenwa
toka
Afrika
hamnaga
siri
hamnaga
siri
Naeza
ficha
Rock
City
Ilishanenwa
ka
kawaida
hamnaga
shida
hamnaga
shida
Ndani
ya
Dar
au
A
City
Ilishanenwa
toka
Afrika
hamnaga
siri
hamnaga
siri
Naeza
ficha
Rock
City
Ilishanenwa
ka
kawaida
hamnaga
shida
hamnaga
shida
Ndani
ya
Dar
au
A
City
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.