paroles de chanson Korasi - Fid Q , Rosa Ree
Nianze
kwa
kusema
asante
kwa
kukupata
beiby
Ungesema
hunitaki
ningedata
maybe
Mie
niliwatosa
hadi
washikaji
ili
kukufuata
beiby
Na
unavyonikosha
zaidi
ya
maji
nimechakacha
Beiby
Beiby
you
make
me
feel
like
a
star
More
than
fame,
more
than
fast
cars
Nikiwa
nawe
ninafly
sky
high
Kama
nimepiga
ssshh,
Napepea
so
high
Sio
longo
longo
love
ya
uongo
na
kweli
Longo
longo
haina
mchongo
love,
moyo
wangu
Ushafeli
Bila
hongo
mbongo
halienzi,
hayo
ni
mapenzi
ya
Kitapeli
Hivyo
hakuna
manfongo
ataeleta
ushemeji
wa
Singeli
Hiki
kitu
ni
real
sio
kitu
feki
Unavyofanya
nafeel
kudadadeki
Tunapiga
madeal
pata
masenti
Home
ni
kuchora
saba
ka
napiga
deki
Koorasi,
koorasi
Tunataka
koorasi
Koorasi,
koorasi
Tunataka
koorasi
Koorasi,
koorasi
Tunataka
koorasi
Koorasi,
koorasi
Tunataka
koorasi
Hili
penzi
linanifanya
mpumbavu
1+2
sielewi
watchu
have
Wengi
wakija
ninawapiga
makavu
Ila
kwako
nilivyodata
ninakupa
utamu
kavu
Yule
wakugomba
ni
mizenguo
furaha
hataki
Nikabaki
kama
Longomba
funguo
nitaipata
Wapi?
Akiwa
sawa,
mnaenda
sawa
tu
mnapeta
Akiwa
vibaya
hugeuka
dawa
isiyonyweka
I
know
am
Gangsta,
nipende
hivyo
hivyo
Sitafunga
kanga
wala
dera
sina
hizo
Tutapiga
kazi,
tuwe
wote
kwenye
hustle
Bonnie
& Clyde
mixer
pesa
kwenye
macho
Ninakuita
jino
bovu
kila
mtu
anataka
akung'oe
Unaniita
hofu
kila
mtu
anataka
anitoe
Hawataki
nikuoe
ili
tutimize
nusu
ya
dini
Waambie
wapige
mswaki
ndipo
wabonge
Kuhusu
mimi
Koorasi,
koorasi
Tunataka
koorasi
Koorasi,
koorasi
Tunataka
koorasi
Koorasi,
koorasi
Tunataka
koorasi
Koorasi,
koorasi
Tunataka
koorasi
Tunataka
koorasi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.