paroles de chanson Mwaminifu - Frank
Unastahili
kuabudiwa
Ewe
mfalme
wa
mbingu
na
nchi
yote
Na
kuheshimu
nakusujudu
Leo
sasa
na
milele
Mwaminifu
Mtakatifu
Utamalaki
ewe
Bwana
Pokea
sifa
ewe
mfalme
Mwenye
nguvu
na
mamlaka
yote
Na
kuheshimu
Na
kusujudu
Leo
sasa
na
milele
Mwaminifu
Mtakatifu
Utamalaki
ewe
Bwana
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.