FreshBoys - Vitasa paroles de chanson

paroles de chanson Vitasa - FreshBoys




Unh Nazitafuta pesa maana home sina urithi
Hata nikifa leo hakuna ubishi
Nishachoka kuota ndoto nyingi za kuishi
Siwezi kosa me nitafosi hata kibishi
Na ndo maana niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Yeah unh
Na nishachoka kuziskiza ngoma zangu ghetto
Choka mbaya makovu ka' nimetoka depo
Siachi sala kama sio studio basi nipo chapel
Killing rappers hata waseme siwezi iona pepo
Unh uh
Miguu yote ndani wanajua me nani
Simtaki Gigy, simtaki Zuu me nahitaji money
Watoto wadogo wanatuelewa si tokea zamani
Tuliomba njia wakatikunjia eti fwata ramani
Ni tunavunja au unafungua hatuna muda budda
Muda sindo pesa time is money ni mbwe mbwe za lugha
Daily nawaza vibunda
Sio kama siwazi the bunda nyash
Si unajua kila jambo na wakati umenipata safi
Switch up the flow flow
I'm on the go go
To get this money,get this dough dough
Tokea mdogo
I had a dream ya kuwa logo na sio ndogo
So lazima nipambane kama nataka niwe don don dada
Don kama shawn C carter Don kama jazzy
Sifa kubwa ya utu uzima ni kuweza lea wazazi
So kama washua wakiitaka washua wanaipata iko wazi
Hutonipata ukinicheki mida ya kazi
Na ndo maana niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Yeah Geezus unh
Wapili ni looser wa kwanza (kwanzaah!)
So naanza mimi wengine ndio wanafwata (fwataah!)
Niko busy nafungua vitasa
Bila hodi mpaka ndani me ndio yule usiemtaka
Mnyama aargh!
Mwenye kisu ndo mla nyama too bad cha kwangu butu
Kiubishi ubishi nakaza mbupu
That's the way that I do do
Jah na mama wamesha bless nipate riziki kwa mafungu
And I'm aiming to the top me sitaki vya uvungu
Unh unh
Hell to the nah
Sa ntafanya lini kama nisipofanya now
Wakuja ndo sisi hatujapagawa na town
Tupo busy kama nyuki kila ngoma tu ni wow!
(Na ndo mana niko ...)
Busy nafungua VITASA mzee
Easy usije ukadata aisee
Fisi nilikua sijajipata mzee
Run up with yo girl mpaka San Dieee (San Diego)
They know that
Nshaondoka mtaani brother
All about the money
Hawa rappers wanaomba hisani
If it ain't bout the money najikataa
Home hakuna route so ikabidi kuzisaka
(Boy) Boy I'm in my city nikiondoka inabaki chata
Me ndo msaka pesa kama Petit Money Rasta
Do it for the game wanna do it for the culture
Pass dat
Me ndio yule dogo ame mu outshine his master
Oya eeh
Na ndo maana niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA
Niko busy nafungua VITASA
Busy nafungua VITASA



Writer(s): Anthony Beatus Chilemba, David Severin Madembwe, Granton John Mwaipopo, Moumini Omary Khama


FreshBoys - Vitasa - Single
Album Vitasa - Single
date de sortie
19-01-2024

1 Vitasa




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.