G Nako - Gusanisha paroles de chanson

paroles de chanson Gusanisha - G Nako



Leo hii wagod kitu fireee
Weeee
Gusa
Gusa
Gusa
Gusanisha
Gusanisha(hasi na Chanya)
Gusanisha (panya na paka)
Gusanisha (Nyama kwa Nyama)
Gusanisha (mama Weeew)
Mabaria Toka Buza tulifika,
Waweke fence tunarukaga ukuta,
Kama mafisi hatuachagi hata mifupaaaa(mifuupa)
Cha mtu mavi wanashikaga ukuta eeh
Bia tatu ila Badaeee Utajuta eeeeh
Kama ulipingaa basi Leo tunafuta
Watu wanaruka majoka uko
Viono vimefugwa motor ivo
Si kuchafuana boxer uko
Mjomba katangaza ndoa ukoo
Ayeeh Ayeeh,mama Ayeeh
Ayeeh Ayeeeh, Gusa Ayeeh
Apo Gusa unase, Gusa unase
Twende Gusa unase, Gusa unase
Gusanisha(hasi na Chanya)
Gusanisha (panya na panya)
Gusanisha (Nyama kwa Nyama)
Gusanisha (mama Weeew)
Ooh my ukikanyagia hatar ya moto inaunguza,
Kucha simamia mgambo wangu rungu suuza,
Ugande gande Kama ruba nipe mahaba na huba, wasema umetoka Buza,
Beba bembea buruza, mambo yente yente,
Teke teke Ongeza makeke iko mahali pake chombeza mbele kitu dekedeke,
Chumbani karate mixer Mateke,
Usije kunisusa napenda ukinigusa safari nafika hasa ukinikolezaa eeeh
Gusanisha(hasi na Chanya)
Gusanisha (panya na paka)
Gusanisha (Nyama kwa Nyama)
Gusanisha (mama Weeew)
Gusanisha
Gusanisha
Gusanisha(hasi na Chanya)
Gusanisha (panya na panya)
Gusanisha (Nyama kwa Nyama)
Gusanisha (mama Weeew)



Writer(s): George Mdemu


G Nako - Gusanisha
Album Gusanisha
date de sortie
23-09-2020



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.