G Nako - Mavijana paroles de chanson

paroles de chanson Mavijana - G Nako




Katika ubora wako nakuona mma wee
Mabaharia toka buza tulifika
Cha mtu mavi wanarukaga ukuta kama
Bia agiza hata sii tunapiga aaah
Gusanisha weee nyama kwa nyama
Ah ma kanyagia moto unaunguza eeh
Shika furahia gande gande kama lubaa




G Nako - Mavijana
Album Mavijana
date de sortie
19-08-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.