Gnako feat. Nikiwaplili & Motrathefuture - KITONGA paroles de chanson

paroles de chanson KITONGA - GNako feat. Nikiwaplili & Motrathefuture



INSTRUMENTAL
S2kizzy baby
Mama leo tupo club tuna party tukirudi ghetto ni kiporo cha ugali
Aaa aaaaaaa
Utachagua furaha moyoni au iphone x ama chozi hauoni mhh!
Nahaya sio matusi nguoni
Utakubali really G ama ukashike ugoni
Unatoa mtoto nae anatoa inakuwa mchezo
Wakutoa itaboa o! ohh! itaboa ohh! itaboa o!
Mama mi sipendi panda milima
Kitoo
Mama mi napenda shuka milima
Kitoo .
Mama mi sipendi panda milima
Kitoo
Mama mi napenda shuka milima
KITONGA
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
INSTRUMENTAL
Yeah! ah
Nunua simu sisi tutampigia (mhh)
Pangisha nyumba baba tuje fikia (mhh)
Nunua mashuka wana tuje chafua (mhh)
Panda mpunga baba sisi tutavuna(mhh)
Hi! buddy unataka kitu nzuri
Nakama pesa ziko upigwe kitunguri
Huwezi kula peke ako kitu nzuri
Kitu nzuri
Kitu nzuri
Inaanza nakuhongaaa (honga)
Inaishia kujinyongaaa (nyonga)
Wazee wakitongaaaa (tonga)
Mpango ni kugongaaa (gonga)
Mama mi sipendi panda milima
Kitoo
Mama mi napenda shuka milima
Kitoo .
Mama mi sipendi panda milima
Kitoo
Mama mi napenda shuka milima
KITONGA
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
INSTRUMENTAL
Mi napenda msele msele (msele)
Mi napenda mtere mteremko (mhh)
Burebure sio mchele mchele (mchele)
Mzee wa pasi ndefu mbelembele uko
Naukitaka masage we mwenyew sauna (sauna)
Sitaki maujiko siunajua na umaa (umaa)
Kitonga dar huku kitaa inauma (inauma)
Una unga unga una unda unda watu wana vunja vunja aaa aaaaa
Una unga unga una unda unda watu wana vunja vunja aaa aaaaa
INSTRUMENTAL
Mama mi sipendi panda milima
Kitoo
Mama mi napenda shuka milima
Kitoo .
Mama mi sipendi panda milima
Kitoo
Mama mi napenda shuka milima
KITONGA
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
Kikiiiiiiii kikikiiiii
Kitonga
INSTRUMENTAL




Gnako feat. Nikiwaplili & Motrathefuture - KITONGA
Album KITONGA
date de sortie
10-07-2019



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.