GNako - Energy paroles de chanson

paroles de chanson Energy - GNako



Life is too short(If Bad Energy),
Usijipe stress(Bad Energy),
Kata kiringi(Cha bad energy),
Oooh! Me like that way(Ehee),
Me like my way
Mimi siabudu kwa mtu ni kwa muumba tu,
Nakunjaga sura nikiwa toilet tu,
Nauzaga sura nikiwa kwa video tu,
Maisha hayaniwezi napigana nayo tu,
Hela zangu zipo njiani girl(sogea karibu),
Sikupi majaribu girl(sogea karibu),
Nikutoe gundu, Carpet jikundu,
Msee nakata fungu(sogea karibu),
Pumzi yangu ndefu shetani hafuati girl(oyeeeye),
Me like my way!
Life is too short(If Bad Energy),
Usijipe stress(Bad Energy),
Kata kiringi(Cha bad energy),
Oooh! Me like that way(Ehee),
Me like my way(Ehee),
Ita washkaji zako tonight(Usiku huu),
Print is on me tonight(Usiku huu),
Usijivunge kabisa ahaahaha,
Oooh! Me like that way,
Me like that way,
Oooh! Umesema unapenda bata,
Yani mpaka kusaza tonight,
Demu wa mtu ni Demu wa mtu tonight,
Na siri ya mtu haivuji kwa mtu tonight,
Oooh! Me Like That Way,
Me Like My way(Me Like My way),
Life is too short(If Bad Energy),
Usijipe stress(Bad Energy),
Kata kiringi(Cha bad energy),
Oooh! Me like that way(Ehee),
Me like my way(Ehee),
Life is too short(Eheee),
Usijipe stress(Eheee),
Kata kiringi(Cha bad energy),
Me like my way,



Writer(s): George Mdemu


GNako - Energy
Album Energy
date de sortie
01-08-2018

1 Energy




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.