Git - Nisamehe paroles de chanson

paroles de chanson Nisamehe - Git



Nisamehe mm kwako mkosaji
Nisamehe baba unifute dhambi
Nisamehe
Nisamehe
Napiga goti kwaimani naongea (Ummh.)
Japo kunamengi nimekukosea
Narudikwako nahitaji kusamehewa
Ni binadamu siyajui ya dunia
Imani kazi ila nitakuitika
Kila wito utakao niita baba
Nielekeze hata njia yakupita
Maana sasa imani ndoimekaba
Kisha kwako nipoke. .
Makosa nifute. .
Kesho kwako nipoke (Nipoke)
Makosa nifute. ... (NIFUTIE)
Nikiumbe chako
Baba nipe nguvu yako
Nikiumbe chako (Oo. .)
BABA NIPE NGUVU YAKO (Oooh.)
Ni wewe
Unaenifanya mina Ng'a
Ili nipande nisishuke
Ni wewe
Wewe ndounanifaa
Basi nishike nisianguke
Ni wewe
Unaenipa furaha
Unanifanya nisihuzunike
Ni wewe. .
Kosa ni Nature yangu
Siwezi kukuficha namakosa yangu
Your GOD from the GODs
You are my Creator i wanna bag from
Forgiveness right now since day & later
GOD bless me GOD forgive me
I bag you do something for me
Staki nirudie makosa
Ila i know I'm Cine
I'm not perfer




Git - Tumaini
Album Tumaini
date de sortie
29-07-2014




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.