Git - Yesu Nakupenda paroles de chanson

paroles de chanson Yesu Nakupenda - Git



Yesu eeee nakupenda
Bwana yesu eeee na kupenda
Yesu eeee nakupenda
Bwana yesu eeee na kupenda
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
Nakupenda
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Nakupenda
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
Nakupenda
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Nakupenda
Yesuuuuuuu huuu yesu
Yesu eeeeeh nakupenda
Bwana yesu eeeeh nakupenda
Yesu eeeeeh nakuenda
Bwana yesu eeeeh nakupena
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
Nakupenda
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Nakupenda
Kama vile ww ulovyo nipenda kwanza
Nakupenda
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Nakupenda
Yesuuuuu uuuh yesu
Msalabani dhambi zangu ulichukuaaaa
Kufika kalvar bwana ukizituaaaa
Nami nimewekwa huru nina kwimbia
Msaraban dhambi zangu ulichukuaaaa
Kufika kalvari bwana ulizituaaaaa
Nami nimewekwa huru ninakwimbiaaa
Nikufananishe na nani mwokozi wangu
(Babaaaa) naona fahari mm ninapo kuimbia (babaa)
Na ninani asimaaame badala yakooo
Hakuna mwingine ni ww peko2
Yesu weee nakupenda
Bwana yesu nakupenda
Yesu wee nakupenda
Bwana yesu eeee nakupenda
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
Nakupenda
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Nakupenda
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
Nakupenda
Kisha tehna ukatoa uhai wako
Nakupenda
Yesuuuuuu uuuu yesu
Nilipo kuwa kwa shetani niliuguaaaa
Ndugu na jamaaa zangu walinikimbiaaa
Laki yesu wa huruma ukanihurumia
Nilipo kuwa kwa shetani niliguaaaa
Ndugu na jamaaa zangu wali nikimbiaaa
Lakini yesu wa huruma ukanihurumiaaa
Nikufananishe nanani mwokozi wangueee
Naona fahari mm ninapo kwimbia
Nani asimame badala yako
(Babaa)hakuna mwingine ni ww peke yako (babaaa) ninajua yeeesu wanipenda mm
Yesu wee nakupenda
Bwana yesu eeee nakupenda
Yesu eee nakupenda
Bwana yesu eeee nakupenda
(Mama weee mama weeeee aaaaaah.!)
Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza
Nakupenda
Kisha tehna ukautoa uhai wako
Nakupenda 2
Yesu uuuh yesu uuuuuh!
Kwimageeeee... kwimagee heee
Kwimageeee... kwimagee hee
Kwimage mugewayesu (halelluya)
Oooooh kwimage wee (kwimage baba)
Kulihobage luhoba baba(halelluya)
Uuuuh kwimahe eee (kwimage baba)
Kwimage baba . kwimage baba
Kwimage baaba kwimage baba
Kwimage baaaaaa baba baba
Kaka kyala kaka kyala kaka kyala
Kaka kyala asante mwokozi wangu
Asante mwokozi wa uhuuu asante



Writer(s): aaron fanyana mayisa


Git - Washa Moto
Album Washa Moto
date de sortie
29-07-2014




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.