Gloria Muliro - Nakuhitaji ( Swahili) - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Gloria Muliro - Nakuhitaji ( Swahili)




Nakuhitaji ( Swahili)
Nakuhitaji (Swahili)
Nainua macho kwa Mungu
I lift my eyes to You, my God
Msaada ni Kwako
For help is from You
Wewe ni ngao ya maisha yangu
You are the shield of my life
Kimbilio langu pekee
My only refuge
Ninakuomba nisaidie
I implore You to help me
Nilinde uniponye
Protect me, heal me
Nainua macho kwa Mungu
I lift my eyes to You, my God
Msaada ni Kwako
For help is from You
Wewe ni ngao ya maisha yangu
You are the shield of my life
Kimbilio langu pekee
My only refuge
Ninakuomba nisaidie
I implore You to help me
Nilinde uniponye
Protect me, heal me
Nakuhitaji Bwana
I need You, Lord
Nakutamani Bwana
I desire You, Lord
Ninajitoa Kwako
I surrender myself to You
Nitumie jinsi upendavyo
Use me as You please
Nakuhitaji Bwana
I need You, Lord
Nakutamani Bwana
I desire You, Lord
Ninajitoa Kwako
I surrender myself to You
Nitumie jinsi upendavyo
Use me as You please
Ombi la moyo wangu Baba
The plea of my heart, Father
Nitumie upendavyo
Use me as You wish
Mungu Baba ninakuomba
God, Father, I beseech You
Unijaze uwezo Wako
Fill me with Your power
Roho wa Mungu uwe nami
Let the Spirit of God be with me
Upako Wako ushuke kwangu
May Your anointing descend upon me
Uniongoze kwa kazi Yako
Guide me in Your work
Mataifa yakujue
Let the nations know You
Nakuhitaji Bwana
I need You, Lord
Nakutamani Bwana
I desire You, Lord
Ninajitoa Kwako
I surrender myself to You
Nitumie jinsi upendavyo
Use me as You please
Nakuhitaji Bwana
I need You, Lord
Nakutamani Bwana
I desire You, Lord
Ninajitoa Kwako
I surrender myself to You
Nitumie jinsi upendavyo
Use me as You please






Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.