paroles de chanson Nakuhitaji ( Swahili) - Gloria Muliro
Nainua
macho
kwa
Mungu
Msaada
ni
Kwako
Wewe
ni
ngao
ya
maisha
yangu
Kimbilio
langu
pekee
Ninakuomba
nisaidie
Nilinde
uniponye
Nainua
macho
kwa
Mungu
Msaada
ni
Kwako
Wewe
ni
ngao
ya
maisha
yangu
Kimbilio
langu
pekee
Ninakuomba
nisaidie
Nilinde
uniponye
Nakuhitaji
Bwana
Nakutamani
Bwana
Ninajitoa
Kwako
Nitumie
jinsi
upendavyo
Nakuhitaji
Bwana
Nakutamani
Bwana
Ninajitoa
Kwako
Nitumie
jinsi
upendavyo
Ombi
la
moyo
wangu
Baba
Nitumie
upendavyo
Mungu
Baba
ninakuomba
Unijaze
uwezo
Wako
Roho
wa
Mungu
uwe
nami
Upako
Wako
ushuke
kwangu
Uniongoze
kwa
kazi
Yako
Mataifa
yakujue
Nakuhitaji
Bwana
Nakutamani
Bwana
Ninajitoa
Kwako
Nitumie
jinsi
upendavyo
Nakuhitaji
Bwana
Nakutamani
Bwana
Ninajitoa
Kwako
Nitumie
jinsi
upendavyo
1 Luliho Olwimbo
2 (Yesu Iroma) Luo
3 Nakuhitaji ( Swahili)
4 Sitolia ( Swahili)
5 Omwami Yesu Yangula (Luhya)
6 Jesu Nigwendete (Kikuyu)
7 Jesu You Have Done Me Well (English)
8 Papa Oshe ( Swahili)
9 Nataka Neno (Swahili)
10 Bolela Yesu (Luyha)
11 Omwami Aletsa (Luyha)
12 Khulwanda
13 Kibali (Swahili)
14 Maisha (Wedding Song)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.