Gloria Muliro - Nakuhitaji - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Gloria Muliro - Nakuhitaji




Nakuhitaji
I need you
Nainua macho kwa Mungu
I lift my eyes up to God
Msaada ni Kwako
I put my trust in You
Wewe ni ngao ya maisha yangu
You are my shield
Kimbilio langu pekee
My only hiding place
Ninakuomba nisaidie
I need You to help me
Nilinde uniponye
Protect me and heal me
Nainua macho kwa Mungu
I lift my eyes up to God
Msaada ni Kwako
I put my trust in You
Wewe ni ngao ya maisha yangu
You are my shield
Kimbilio langu pekee
My only hiding place
Ninakuomba nisaidie
I need You to help me
Nilinde uniponye
Protect me and heal me
Nakuhitaji Bwana
I need You Lord
Nakutamani Bwana
I desire You Lord
Ninajitoa Kwako
I give myself to You
Nitumie jinsi upendavyo
Use me as You wish
Nakuhitaji Bwana
I need You Lord
Nakutamani Bwana
I desire You Lord
Ninajitoa Kwako
I give myself to You
Nitumie jinsi upendavyo
Use me as You wish
Ombi la moyo wangu Baba
My heart's desire Father
Nitumie upendavyo
Use me as You wish
Mungu Baba ninakuomba
God Father I pray
Unijaze uwezo Wako
Fill me with Your power
Roho wa Mungu uwe nami
Let Your Spirit be with me
Upako Wako ushuke kwangu
Let Your anointing descend upon me
Uniongoze kwa kazi Yako
Guide me through Your work
Mataifa yakujue
Let the nations know You
Nakuhitaji Bwana
I need You Lord
Nakutamani Bwana
I desire You Lord
Ninajitoa Kwako
I give myself to You
Nitumie jinsi upendavyo
Use me as You wish
Nakuhitaji Bwana
I need You Lord
Nakutamani Bwana
I desire You Lord
Ninajitoa Kwako
I give myself to You
Nitumie jinsi upendavyo.
Use me as You wish.





Writer(s): Gloria Muliro


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.