Gloria Muliro - Nakuhitaji paroles de chanson

paroles de chanson Nakuhitaji - Gloria Muliro



Nainua macho kwa Mungu
Msaada ni Kwako
Wewe ni ngao ya maisha yangu
Kimbilio langu pekee
Ninakuomba nisaidie
Nilinde uniponye
Nainua macho kwa Mungu
Msaada ni Kwako
Wewe ni ngao ya maisha yangu
Kimbilio langu pekee
Ninakuomba nisaidie
Nilinde uniponye
Nakuhitaji Bwana
Nakutamani Bwana
Ninajitoa Kwako
Nitumie jinsi upendavyo
Nakuhitaji Bwana
Nakutamani Bwana
Ninajitoa Kwako
Nitumie jinsi upendavyo
Ombi la moyo wangu Baba
Nitumie upendavyo
Mungu Baba ninakuomba
Unijaze uwezo Wako
Roho wa Mungu uwe nami
Upako Wako ushuke kwangu
Uniongoze kwa kazi Yako
Mataifa yakujue
Nakuhitaji Bwana
Nakutamani Bwana
Ninajitoa Kwako
Nitumie jinsi upendavyo
Nakuhitaji Bwana
Nakutamani Bwana
Ninajitoa Kwako
Nitumie jinsi upendavyo.



Writer(s): Gloria Muliro


Gloria Muliro - Kibali
Album Kibali
date de sortie
20-01-2016




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.