Hakim - Ahadi paroles de chanson

paroles de chanson Ahadi - Hakim




Nafsi yangu usichoke, roho yangu msifu Bwana
Alihadi atatenda, mtumanie Bwana
Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda (His promises are forever, if he promises he will do it)
Roho yangu nafsi yangu, mtumainie Bwana (My spririt my self, trust in the Lord)
Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema
Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana)
Mawazo yake sio yetu, njia zake si kama zetu
Mbingu zilivyo juu ya nchi, mawazo yake ni makuu
Ataagiza fadhili zake, wimbo wake kwangu usiku
Sifadhaike usiiname, mtumainie bwana





Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.