paroles de chanson Against the Odds - Hanta The Samurai
Yooww
Sijui
ka
nyi
mmenotice
vile
time
inaenda
faster
Na
dunia
in
chaos,
kila
corner
kuna
disaster
Tuko
depressed
ju
ya
pesa,
ju
ndio
happiness
tuko
after
Na
imebaki
tu
kwa
memes
ndio
place
tunapata
laughter
In
other
news,
as
you
complain,
remember
the
fact
that
Kuna
watu
wako
jobless,
na
wana
degree
na
masters
Kuna
bibi
ya
mshirika
anatongozwa
na
Pastor
Kuna
Mtoto
wa
shule
alishika
mimba
ya
headmaster
Kuna
vijana
warasta
waliuliwa
kwa
kushukiwa
kuwa
magangsters
Na
kesi
haijawahi
kuwa
solved,
bado
wazazi
wangoja
answers
In
short,
there's
no
justice,
it's
just
us
Waliotupea
a
chest
to
lean
on,
sai
wamegeuka
kuwa
cactus
Mhubiri
alisema,
kwamba
mungu
huwa
hachelewi
Lakini
vitu
zinahappen,
hata
mi
mwenyewe
sielewi
Kuomba
tunaomba
sana,
ni
ka
kuna
jibu
hatupewi
Sijui
ni
nini
hatufanyi
ama
ni
wapi
tunafeli
Tumkimbilie
nani,
ndugu
zangu
niambieni?
Maisha
inatupea
Dilemma
kushinda
ya
Kelly
na
Nelly
Mpaka
inahuzunisha
kuwatch
news
kwenye
telly...
mazee!
Watu
na
mifugo
in
some
parts
wanakufa
daily
Ju
ya
crisis
or
lack
of
something
to
put
in
their
bellies
Na
viongozi
wao
wamejaza
scandals
ka
R.kelly
I
think
its
time
as
Kenyans
tuambiane
ukweli
Siku
hizi
hakuna
hata
viongozi,
tumebaki
na
matapeli
Yo!
I
feel
2pac,
still
I
see
no
changes
We're
physically
free,
mentally
we're
trapped
in
cages
For
ages,
working
like
slaves
for
minimum
wages
Yet
the
rich
and
the
poor
bado
wako
on
different
pages.
Tunaishi
kwa
society
where
the
vices
are
embraced,
and
virtues
are
rejected
Where
the
rich
are
very
protected,
and
the
poor
are
still
neglected
If
you're
poor
you
get
subjected,
your
opinion
don't
get
respected
Where
you
cannot
get
it
fairly
unless
you're
well
connected
Where
this
greedy
politicians
bado
wanaget
re-elected
The
more
tunavote,
the
more
tunablunder
And
It's
a
shame
vile
ufisadi
kwa
hii
nchi
umetanda...
itabidi
mkae
rada!
Cause'
After
5yrs
za
kuiba,
kukula
na
kuuza
sura
Bila
aibu
Mwanasiasa
atarudi
tena
akiomba
kura
Akidai
'nitajenga
barabara,
nitawajengea
shule
Nitaboresha
huduma
ya
afya
na
pia
elimu
ya
bure'
Nonsense!
We
pledge
ourselves,
to
liberate
all
our
people
From
the
continuous
bondage
of
poverty,
gender
and
other
discrimination
We
commit
ourselves
to
the
construction
of
a
complete,
just
and
lasting
peace.
A
time
for
the
healing
of
the
wounds
has
come!
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.