paroles de chanson Aiyola - Harmonize
AIYOLA
Lyrics
by
Harmonize
Aiyoo
aiyoola
iyeeh
Ayolaa
mamaaa!
Aiyoo
aiyoola
iyeeh
Nilifundishwa
na
bibi
kijijini
jinsi
ya
kupenda
Na
mwanamke
hapigwi
na
ngumi
ila
upande
wa
kanga
Tena
mapenzi
sio
league,
nikakubali
kushindwa
Mi
sikufunzwa
graji,
tushindane
risasi
kwa
panga
Mbona
nilikudhamini
mengi
nikakusevia
Sitosema
hadharani
wengi
wakayasikia
Sio
wakunipanda
kichwani,
hukumbuki
tulipotokea
Na
kunishusha
thamani,
kipi
nilichokosea
Ingawa
kidogo
nilichopata,
nikajinyima
uridhike
Ila
hukujali
ukanikatili
moyoo
Majirani
walinicheka
uliponiforce
nipikee,
ahhh
sio
siri
ilinivunja
moyoo
Kisirani,
ugomvi
bila
chanzo,
ni
ukweli
uko
moyoni
sina
budi
nilivue
pendo
Ingawa
kishingo
upande
(CHORUS)
Aiyooo
aiyoola
iyehhh,
sitaforce
unipende
Aiyooo
aiyoola
iyheeeh,
ila
kishingo
upande
mama
Aiyoo
aiyolaaaa
iyehhh,
basi
bora
uende
mama
Aiyoo
aiyoola
iyehhh
×2
Sitosema
mapenzi
basi
nimeumbwa
na
moyo
Moyo
wenye
matamanio
na
unapenda
pia
Ila
nitaijuitia
nafsi
nilikufanya
chaguo,
ahhh
chaguo
la
moyo
kumbe
ulipita
njia
Nilivyowanyima
ndugu
visiri
nikakutunzia
usijeleta
vurugu
akili
ukaitibua
Najuta
kujitia
bubuu,
sitaki
vya
kusikia
kisa
pendo
unisurubu
mengi
nishayafumbia
Mbona
nilikuthamini
mengi
nikakusevia
sitosema
hadharani
wengi
wakayasikia
Sio
wakunipanda
kichwani,
hukumbuki
tulipotokea
Na
kunishusha
thamani,
kipi
nilichokosea
Kisirani,
ugomvi
bila
chanzo,
ni
ukweli
upo
moyoni
sina
budi
nilivue
pendo
ingawa
kishingo
upande
(CHORUS)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.