paroles de chanson Kwa Ngwaru - Harmonize , Diamond Platnumz
Mmhh
I
wish
ningekuwaga
na
mavumba,
Mkwanja
manoti,
nikuhonge
vya
thamani
Ama
niwe
fundi
wa
kuigiza
ka
Kanumba,
Masanja,
Joti
usiwe
mbali
nami
Mhhh
my
darling
I
need
your
love
ooh
Uwe
nami,
haki
ya
Mungu
nakupenda
Nobody
can
show
you
love
ooh
Usiwaamini,
ukishawapa
wanakwenda
Oh
basi
jilegeze
nikubebe
mgongoni
(iyelewi)
Deka
nikudekeze,
nikutunze
kama
mboni
(iyelewi)
Wakija
wapoteze,
jifanye
kama
huwaoni
(iyelewi)
Kisha
uniongeze
ulivofunzwa
unyagoni
(iyelewi)
Ooh
baby,
asa
dance
nikuone
(kwa
ngwaru)
Uwabamijo
(kwa
ngwaru),
ululufemi
(kwa
ngwaru)
Ooh
baby,
asa
cheza
nikuone
(kwa
ngwaru)
Wabamijo
(kwa
nwaru),
basi
cheza
na
mimi
(kwa
ngwaru)
(Diamond)
Agha,
moyo
wangu
wa
muarobaini
Mchungu
ukiuziwa
Samehe
mara
sabini,
huo
uzungu
sijajaliwa
Ukipenda
chunga
majini,
kwenye
uvungu
pale
niwa
Kumbatie
baridini,
kwenye
tundu
kama
njiwa
Moyo
wangu
ni
wa
makuti,
usinijie
na
kiberiti
(asa
wee)
Penzi
likageuka
chuki,
nyumba
ikawa
Kibiti
(asa
wee)
Nipatie
vya
kitandani,
nipe
mpaka
kwenye
kiti
(asa
wee)
Ili
asiniingie
shetani,
nawe
nikaja
kuku-cheat
Oh
basi
jilegeze,
nikubebe
mgongoni
(iyelewi)
Kitandani
nikoleze,
kwa
miuno
ya
Kingoni
(iyelewi)
Kisha
nibembeleze,
nirudishe
utotoni
(iyelewi)
Weka
mate
niteleze,
kama
nyoka
pangoni
(iyelewi)
Oh
baby
asa
dance
kidogo
(kwa
ngwaru)
Ooh
wabamijo
(kwa
ngwaru),
ululufemi
(kwa
ngwaru)
Ooh
baby
asa
cheza
nikuone
(kwa
ngwaru)
Uwabamijo
(kwa
ngwaru),
basi
cheza
na
mimi
(kwa
ngwaru)
(Diamond,
Harmonize)
Agha,
unataka
kucheza
chura
na
ingali
umesimama
(aa
inama
inama)
Asa
waonyeshe
(aa
inama
inama),
unachezaje
(aa
inama
inama)
Unataka
maji
ya
kisima
na
muoga
wa
kuchutama
(aa
inama
inama)
Hebu
waonyeshe
(aa
inama
inama),
unachotaje
(aa
inama
inama)
Unataka
kupiga
deki,
wima
umesimama
(aa
inama
inama)
Hebu
tuonyeshe
(aa
inama
inama),
unapigaje
(aa
inama
inama)
Si
unataka
vya
pool
table
sa
mbona
unajibana
(aa
inama
inama)
Hebu
tuonyeshe
(aa
inama
inama),
unalengaje
(aa
inama
inama)
(Diamond)
Hii!
oya
wanangu
wa
Kigogo
(aa
inama
inama)
Nipe
za
Mose
Iyobo
(aa
inama
inama)
Vunja
vunja
kidogo
(aa
inama
inama)
Aa
niongeze
mikogo
(aa
inama
inama)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.