Harmonize - Aiyola paroles de chanson

paroles de chanson Aiyola - Harmonize



Aiyoo aiyoola iyeeh
Ayolaa mamaaa!
Aiyoo aiyoola iyeeh
Nilifundishwa na bibi
Kijijini jinsi ya kupenda
Na mwanamke hapigwi
Na ngumi ila upande wa kanga
Tena mapenzi sio League
Nikakubali kushindwa
Mi sikufunzwa graji
Ushindane risasi kwa panga
Mbona nilikuthamini
Mengi nikakusevia (aah aah)
Sitosema hadharani
Wengi wakayasikia (aah aah)
Sio wakunipanda kichwani
Hukumbuki tulipotokea (aah aah)
Na kunishusha thamani
Kipi nilichokosea
Ingawa kidogo nilichopata
Nikajinyima uridhike
Ila hukujali ukanikatili moyo
Majirani walinicheka
Ulipo-force nipikee
Aah sio siri ilinivunja moyo
Kisirani, ugomvi bila chanzo
Ni ukweli upo moyoni
Sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande
Aiyooo aiyoola iyeeh
Sito-force unipende
Aiyooo aiyoola iyeeeh
Oh kishingo upande mama
Aiyoo aiyolaaaa iyeeh
Basi bora uende mama
Aiyoo aiyoola iyeeh
Sitosema mapenzi basi
Nimeumbwa na moyo
Moyo wenye matamanio
Na unapenda pia
Ila nitaijuitia nafsi
Nilikufanya chaguo
Aah chaguo la moyo
Kumbe ulipita njia
Nilivyowanyima ndugu
Vya siri nikakutunzia
Usijeleta vurugu
Akili ukaitibua
Najuta kujitia bubu
Sitaki vya kusikia
Kisa pendo unisurubu
Mengi nishayafumbia
Mbona nilikuthamini
Mengi nikakusevia
Sitosema hadharani
Wengi wakayasikia
Sio wakunipanda kichwani
Hukumbuki tulipotokea
Na kunishusha thamani
Kipi nilichokosea
Oh! Kisirani, ugomvi bila chanzo
Ni ukweli upo moyoni
Sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande
Aiyooo aiyoola iyeeh
Sito-force unipende
Aiyooo aiyoola iyeeeh
Oh kishingo upande mama
Aiyooo aiyoola iyeeh
Ah sibora uende mama
Aiyooo aiyoola iyeeh
Ingawa kishingo upandwe
Aiyooo aiyoola iyeeh
Sito-force unipende
Aiyooo aiyoola iyeeeh
Oh kishingo upande mama
Aiyooo aiyoola iyeeh
Ah sibora uende
Aiyooo aiyoola iyeeh
Kishingo upande
Kishingo upande
Na maxmizo
Harmonize baibe
Harmonize baibe



Writer(s): Rajabu Abdukahal Ibrahim


Harmonize - Aiyola
Album Aiyola
date de sortie
06-11-2015

1 Aiyola




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.