paroles de chanson Hujanikomoa - Harmonize
Hii
hapa
sauti
ya
Konde
Boy
mjeshi
(Konde
Boy)
Mwambieni
dada
yenu
hajanikomoa
Eti
badala
ya
kujenga
anabomoa
Mwambieni
dada
yenu
hajanikomoa
Badala
ya
kujenga
anabomoa
Eti
mapenzi
hayalazimishwi
Tena
ni
siri
ya
watu
wawili
Wala
sikuwa
mbishi
Alivyonikataa
kimwili
Asa
jana
nipo
kwa
mama
Winnie
Napiga
zangu
chai
vitumbua
Eti
kasambaza
za
chini
chini
Mie
bado
ninamsumbua
Oooh
mwambieni
dada
yenu
hajanikomoa
Eti
badala
ya
kujenga
anabomoa
Mwambieni
dada
yenu
hajanikomoa
Ah
badala
ya
kujenga
ana
Dodo
style,
eeh
Mudi
mnyama
Msalimie
Jengo
tamu
Eeh
wapi
mchachambo
mchachambo
Mwambie
chibaba
afagie
njia
wanajeshi
tunapita
(Twende
twende)
Asa
mguu
pande
mguu
pande
Twende
mguu
sawa
mguu
sawa
Eeh
mguu
pande
mguu
pande
Mguu
sawa
mguu
sawa
Ruka
kijeda
kijeda
Wahuni
kijeda
kijeda
Asa
jump
kijeda
kijeda
Gwaride
la
kijeda
kijeda
Bosi
mwenye
bodaboda
hujanikomoa
Eti
badala
ya
kujenga
unabomoa
Bosi
mwenye
bajaji
hujanikomoa
Badala
ya
kujenga
unabomoa
Chombo
imelala
gereji
Mie
jana
sijakula
vichwa
Umetuma
bonge
la
meseji
Unataka
pesa
jua
tu
ni
kichwa
Mi
nafanya
kazi
kwa
shida
Nakesha
tena
silali
Unachukulia
barida
Kwa
nguvu
unadai
salary
Muda
mwingine
niwabebe
ndugu
zako
Ooooh
ooooh
ndugu
zako
Mwisho
wa
wiki
unataka
pesa
zako
Ooooh
ooooh
pesa
zako
Bosi
mwenye
bodaboda
hujanikomoa
Maana
badala
ya
kujenga
unabomoa
Bosi
mwenye
bajaji
hujanikomoa
Eti
badala
ya
kujenga
Wazee
wa
chafu
tatu(Mama)
Chafu
tatu(chinja)
I
say
chafu
tatu,
chafu
tatu
Na
stima
kei
ndani(Wahuni)
Kei
ndani
(Machizi
boti)
Ana
dume
ndani(Duke
boti)
Dume
ndani(Yuapiga
mata)
Mzungu
wa
pili
ndani(Wahuni)
Pili
ndani
Aya
sasa
chafua(Walete)
Chafua(Walete)
Wahuni
chafua(Walete)
Chafua(Walete)
Nasema
fitizi
hiyo(Baruti)
Fitizi
hiyo(Baruti)
Sasa
fitizi
hiyo(Baruti)
Fitizi
hiyo
Juma
mpogo,
msalimie
Omari
Omari
Na
anifikishie
salamu
zangu
kwa
Dogo
Mfaume
Waambie
gurudumu
linasongeshwa
Na
Konde
Boy
Mjeshi
Kama
unampenda
Dogo
Mfaume,
kimbiaa
Kama
unampenda
Omari
Omari,
kelele
Usijebishana,
Young
Keys
mleto
Mwambie
mzambele
ajinyonge
Hunter
ninyonge
Dogo
router
aninyonge
Jose
wa
mipango,
wa
mipango
Baba
mwenye
nyumba
wangu
hujanikomoa
Maana
badala
ya
kujenga
unabomoa
Baaba
mwenye
nyumba
wangu
hujanikomoa
Badala
ya
kujenga
unabomoa
Unakuja
mpaka
ndani
Tena
bila
kugonga
hodi
Niulizapo
ku
nani?
Nimechelewa
kulipa
kodi
Umeme
kwangu
umekata
Taa
kwako
zinawaka
Ata
maji
umekata
Nashindwa
gogo
kukata
Kupata
majaliwa
Ipo
siku
utapewa
Kwangu
nitahamia
Hata
ikichelewa
Baba
mwenye
nyumba
wangu
hujanikomoa
Eti
badala
ya
kujenga
unabomoa
Hii
ni
order
toka
jeshini
Namanisha
kambi
kuu
Konde
Gang
Na
anaye
zungumza
hapa
ni
mjeshi
Wa
majeshi
yote
ya
Konde
Gang
Tulia,
tulia,
tulia
Kaa
chini
wewe,
kaa
chini
Aya
sasa
toa
shati,
toa
shati
Aah
zungusha
shati
zungusha
shati
Eeh
mpaka
kofia
yaani
dareki
Wazee
wa
vitambaa
vitambaa
Hii
ni
order
wahuni
kimbia!
Wote
lala
chini,
eeh
lala
chini
(The
Mix
killer)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.