paroles de chanson Ushamba - Harmonize
Konde
Boy
Weeeeeh
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
weeh,
huo
ni
ushamba
huo
ni,
weeh
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
eeeh
huo
ni
ushamba
Pesa
ya
kulipa
gesti
unayo,
eeeh
Nyumbani
familia
inapiga
miyayo,
eeeh
Mmh
yanafurahisha
ufanyayo,
eeeh
huo
ni
ushamba
Inaboa
kudadadeki,
dereva
wa
Uber
hataki
ku-over
take-i
Eti
kisa
pesa
haiongezeki,
eeeh
huo
ni
ushamba
Yupo
kitandani
kajilegeza,
eeh
Mi
nimeshapaka
vya
kuteleza,
eeh
Eti
bebi
leo
simba
wanacheza,
eeeh
huo
ni
ushamba
Husband
material
kutwa
unalike
picha
za
makalio
Vya
wenzako
usijipe
matamanio,
eeh
huo
ni
ushamba
Ashura
wa
mbagala
huna
pakula
pakulala
Comment-i
ndefu
picha
za
kajala
huo
tunaita,
eeeh
huo
ni
ushamba
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
huo
ni
ushamba
huo
ni
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
eeeh
huo
ni
ushamba
Mmmh
malejendi
si
wamerudisha
vita
Wanahofia
eti
jeshi
anawapita
Bila
sababu
wananikunjia
ndita,
eeeh
huo
ni
ushamba
Limechoka
acha
nilikalagaze
halina
meno
ilo
simba
ze
Likila
demu
lazima
litangaze
Huo
tunaita,
eeeh
huo
ni
ushamba
Hivi
dunia
ndo
ipo
kikomo
eeh
maana
hadi
waganga
wanapiga
promo
Hadi
insta
eeh
wana
page
za
kujipigia
domo,
eeeh
huo
ni
ushamba
Amepanga
chumba
huko
vingunguti
yupo
mbezi
kwa
demu
pesa
hatafuti
Mmh
vipi
akikupiga
kibuti?
Eeeh
huo
ni
ushamba
Aaah
konda
wa
daladala
umenipitisha
bahati
mbaya
nililala
unataka
nilipe
tena
ni
busara
Eeeh
huo
ni
ushamba
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
huo
ni
ushamba
huo
ni
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
eeeh
huo
ni
ushamba
Kaja
na
vumbi
uso
umefuba
Anadai
kapaka
powder,
eeh
kaniomba
nauli
ya
Uber
Eeeh
yule
namuona
kapanda
boda,
eeeh
huo
ni
ushamba
Vitu
vingine
haviji
na
ubongo,
eeh,
punguzeni
sifa
wana
sio
mchongo,
eeh
Demu
humjui
unampakia
mkongoo,
eeeh
huoni
ushamba
Yeye
ndo
kalewa
kuliko
wote
anaimba
nakucheza
ngoma
zote
Wakati
wakulipa
bili
sina
chochote,
eeh
huo
ni
ushamba
Meno
yote
nje
anachekelea
ahsante
baby
nimepokea
Hasa
mbona
haujatuma
na
yakutoleaa,
eeeh
huo
ni
ushamba
Kumepambazuka
alfajiri
tupo
club
wana
anasema
subiri
Yani
kisa
yeye
ndo
mwenye
usafiri
aah,
eeeh
huoni
ushambaa
Tunaishi
kwa
nyumba
ya
kupanga
mwenzetu
unatuletea
mganga
Unataka
wote
tuonekane
wanga
huo
tunaita,
eeeh
huo
ni
ushamba
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
huo
ni
ushamba
huo
ni
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
eeeh
huo
ni
ushamba
Hehehehee
hasa,
kama-kama
kama-kama
tumekutana
mchana
unasema
haujala
Heheheee
asubuhi
si
ungeniomba
mswaki
weeh
hehehe
hahaha
hahahaha
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
huo
ni
ushamba
huo
ni
Huo
ni
ushamba
huo
ni,
huo
ni
ushamba
They
call
me
Konde
Boy
number
one,
jeshi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.