ISSAI IBUNGU feat. 20 Percent - Mama Neema - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction ISSAI IBUNGU feat. 20 Percent - Mama Neema

Mama Neema
Mama Neema
Baby crying...
Baby crying...
Nikumuona Neema na muonea huruma
I see Neema and I feel pity for her
Ananijua baba, hakujui mama na...
She knows me, her dad, but she doesn't know her mom and...
Namshukuru mungu Neema yusalama ah
I thank God that Neema is safe ah
Ila ananipa machungu; "baba wapi mama?"
But she gives me heartache; "Dad, where's mom?"
Ananiuliza maswali mengi na makali
She asks me many tough questions
Kila nikitafakari huwaga mi'nakumbuka mbali
Every time I think about it, I remember far back
Mama Neema Neema ulimuacha na siku nane eh!
Neema's mom, you left her at eight days old eh!
Hukuta- kungoja ili Neema wako anyonye eehh
You didn't wait for your Neema to breastfeed eehh
Mama Neema Neema ulimuacha na siku nane eh!
Neema's mom, you left her at eight days old eh!
Hukuta- kungoja ili Neema wako anyonye eehh
You didn't wait for your Neema to breastfeed eehh
Hivi mi nina nuksi gani?!
Do I have a curse?!
Au mimi nina mkosi gani?!
Or do I have bad luck?!
Au kuna kitu, kwa ndugu, jamaa, na majirani eyi?
Or is there something, with relatives, family, and neighbors eyi?
Naogopa kusema dhambi kwa maanani!
I'm afraid to say sin intentionally!
Nilizaa kamwana vikashindikana
I gave birth but it didn't work out
Kama bahati bwana, nilikupata kimwanana
Like luck, I found you, my love
Nikasema na tuzae watoto watusaidie baadae
I said let's have children to help us later
Ulilipokea kwa furaha, ulinifuata nikukumbatie
You received it with joy, you followed me, I hugged you
Kumbe wewe nakupa passport utangulie
Turns out you were giving me a passport to go first
Ilipangwa wewe utangulie mwao abakiye
It was planned that you would go first and he would remain
Mama Neema Neema ulimuacha na siku nane eh!
Neema's mom, you left her at eight days old eh!
Hukuta- kungoja ili Neema wako anyonye eehh
You didn't wait for your Neema to breastfeed eehh
Mama Neema Neema ulimuacha na siku nane eh!
Neema's mom, you left her at eight days old eh!
Hukuta- kungoja ili Neema wako anyonye eehh
You didn't wait for your Neema to breastfeed eehh
Kila ninako kwenda Neema yuko nyuma yangu mie
Everywhere I go, Neema is behind me
Na mi'siwezi kumtenga, kwani baba mie mama mie
And I can't abandon her, because I'm her mom and dad
Mara acheke mara alie, Neema mara anitanie
Sometimes she laughs, sometimes she cries, sometimes Neema pulls me
Naomba mola amjalie na wazo la mama lisimjie
I pray that God will grant her peace and that the thought of her mother won't come to her
Najua haiwezekani kwa kila aliye duniani
I know it's not possible for everyone in the world
Ana miaka kumi kila siku mama yusafarini
She's ten years old and every day her mom is traveling
Na maswali ya kizushi "mama atarudi lini ih?"
And tricky questions "when will mom come back ih?"
Na yakumbuka mazishi minabaki na uzini
And remembering the funeral, I'm left with sorrow
Mimi nilie, au ninune?
Should I cry, or should I hum?
Hivi nini eeeh mimi nifanyee?
What should I do eeh?
Mama Neema Neema ulimuacha na siku nane eh!
Neema's mom, you left her at eight days old eh!
Hukuta- kungoja ili Neema wako anyonye eehh
You didn't wait for your Neema to breastfeed eehh
Mama Neema Neema ulimuacha na siku nane eh!
Neema's mom, you left her at eight days old eh!
Hukuta- kungoja ili Neema wako anyonye eehh
You didn't wait for your Neema to breastfeed eehh
20 percent, 20 percent, 20 percent
20 percent, 20 percent, 20 percent
Man Water, Man Water, Man Water
Man Water, Man Water, Man Water
Mama Neema Neema ulimuacha...
Neema's mom, you left her...
Hukuta- kungoja ili Neema...
You didn't wait for Neema...
Mama Neema Neema ulimuacha...
Neema's mom, you left her...
Hukuta- kungoja ili Neema...
You didn't wait for Neema...

ISSAI IBUNGU feat. 20 Percent - Yanini Malumbano
Album
Yanini Malumbano
date de sortie
12-09-2008

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.