paroles de chanson Mama Neema - ISSAI IBUNGU feat. 20 Percent
Baby
crying...
Nikumuona
Neema
na
muonea
huruma
Ananijua
baba,
hakujui
mama
na...
Namshukuru
mungu
Neema
yusalama
ah
Ila
ananipa
machungu;
"baba
wapi
mama?"
Ananiuliza
maswali
mengi
na
makali
Kila
nikitafakari
huwaga
mi'nakumbuka
mbali
Mama
Neema
Neema
ulimuacha
na
siku
nane
eh!
Hukuta-
kungoja
ili
Neema
wako
anyonye
eehh
Mama
Neema
Neema
ulimuacha
na
siku
nane
eh!
Hukuta-
kungoja
ili
Neema
wako
anyonye
eehh
Hivi
mi
nina
nuksi
gani?!
Au
mimi
nina
mkosi
gani?!
Au
kuna
kitu,
kwa
ndugu,
jamaa,
na
majirani
eyi?
Naogopa
kusema
dhambi
kwa
maanani!
Nilizaa
kamwana
vikashindikana
Kama
bahati
bwana,
nilikupata
kimwanana
Nikasema
na
tuzae
watoto
watusaidie
baadae
Ulilipokea
kwa
furaha,
ulinifuata
nikukumbatie
Kumbe
wewe
nakupa
passport
utangulie
Ilipangwa
wewe
utangulie
mwao
abakiye
Mama
Neema
Neema
ulimuacha
na
siku
nane
eh!
Hukuta-
kungoja
ili
Neema
wako
anyonye
eehh
Mama
Neema
Neema
ulimuacha
na
siku
nane
eh!
Hukuta-
kungoja
ili
Neema
wako
anyonye
eehh
Kila
ninako
kwenda
Neema
yuko
nyuma
yangu
mie
Na
mi'siwezi
kumtenga,
kwani
baba
mie
mama
mie
Mara
acheke
mara
alie,
Neema
mara
anitanie
Naomba
mola
amjalie
na
wazo
la
mama
lisimjie
Najua
haiwezekani
kwa
kila
aliye
duniani
Ana
miaka
kumi
kila
siku
mama
yusafarini
Na
maswali
ya
kizushi
"mama
atarudi
lini
ih?"
Na
yakumbuka
mazishi
minabaki
na
uzini
Mimi
nilie,
au
ninune?
Hivi
nini
eeeh
mimi
nifanyee?
Mama
Neema
Neema
ulimuacha
na
siku
nane
eh!
Hukuta-
kungoja
ili
Neema
wako
anyonye
eehh
Mama
Neema
Neema
ulimuacha
na
siku
nane
eh!
Hukuta-
kungoja
ili
Neema
wako
anyonye
eehh
20
percent,
20
percent,
20
percent
Man
Water,
Man
Water,
Man
Water
Mama
Neema
Neema
ulimuacha...
Hukuta-
kungoja
ili
Neema...
Mama
Neema
Neema
ulimuacha...
Hukuta-
kungoja
ili
Neema...
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.