paroles de chanson Kipepeo - Jaguar
Tazama
kule
kule
kule
tumetoka
Tazama
kule
kule
kule
tumetoka
Nikiwa
nawe
sitembei
Nakuwa
tu
kipepeo
Napepea
napepea
Juu
ya
mapenzi
unayonipa
Nikiwa
nawe
sitembei
Nakuwa
tu
kipepeo
Napepea
napepea
Juu
ya
mapenzi
unayonipa
Nataka
leo
nitangaze
niseme
Kama
si
wewe
sitaki
mwingine
Na
wao
wabaya
wabaki
waseme
ni
uchawi
nami
ushaniroga
Mapenzi
unayonipa
Hakuna
mwingine
ashawai
nipa
Kama
si
wewe
sitaki
mwingine
Kama
si
wewe
sitaki
mwingine
Sitakutesa
ili
unililie
Nitakutunza
ili
unizalie
Kama
samaki
sirudi
nyuma
Nikiwa
nawe
sirudi
nyuma
Nikiwa
nawe
sitembei
Nakuwa
tu
kipepeo
Napepea
napepea
Juu
ya
mapenzi
unayonipa
Nikiwa
nawe
sitembei
Nakuwa
tu
kipepeo
Napepea
napepea
Juu
ya
mapenzi
unayonipa
Maombi
nilyoomba
yamefika
Niliyemwomba
Mola
amenipa
Nitamfuata
kama
kivuli
Kokote
aendako
Maombi
nilyoomba
yakafika
Niliyemwomba
Mola
amenipa
Nitamfuata
kama
kivuli
Kokote
aendako
Sitakutesa
ili
unililie
Nitakutunza
ili
unizalie
Kama
samaki
sirudi
nyuma
Nikiwa
nawe
sirudi
nyuma
Nikiwa
nawe
sitembei
Nakuwa
tu
kipepeo
Napepea
napepea
Juu
ya
mapenzi
unayonipa
Nikiwa
nawe
sitembei
Nakuwa
tu
kipepeo
Napepea
napepea
Juu
ya
mapenzi
unayonipa
Tazama
kule
kule
kule
tumetoka
Tazama
kule
kule
kule
tumetoka
Tazama
kule
kule
kule
tumetoka
Tazama
kule
kule
kule
tumetoka
Kule
kule
kule
kule
kule
kule
tumetoka
Kule
kule
kule
kule
kule...
tumetoka
(Eeeh)kule...
tumetoka
(Eeeh)kule...
tumetoka
(Eeeh
napepea
pepea
pepea...)
End
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.