Jam - Bwana Yesu paroles de chanson

paroles de chanson Bwana Yesu - Jam

Bwana Yesu, bwana Yesu
Kimbilo langu, niwewe baba
Tumaini langu, liko kwako Yahweh
Mimi sina uwezo, sina bwana mwingine ila wewe

Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu

Hallelujah, Hallelujah
Ulinifia mwokozi wangu, dhambi zangu zote ukaziocha
Sijapata mwingine, dunia yote kama wewe Yahweh
Sijapata mwingine, sijapata mwingine kama wewe Yahweh
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Nakuinua, nakuinua
Milele milele, nitakuimbia
Kwa yale umenitendea, baba nakusifu
Milele milele, milele taimba bwana wangu
Milele na milele, milele taimba a bwana wangu we
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu, msaada wangu wa karibu
Hallelujah, nikuinua milele Mungu wangu
Hakuna mwingine kama wewe
Hakuna hakuna, hakuna kama wewe
Binguni na dunia tuimbe, hakuna kama wewe
Aliye filia dhambi zangu nasema, hakuna kama wewe
Mponyaji wangu ndiwe Jéhovah rapha, hakuna kama wewe
Hakuna hakuna naimba, hakuna kama wewe
Hakuna hakuna nasema, hakuna kama wewe
Ulimwengu wote tuimbe, hakuna kama wewe
Dunia yote tusemee, hakuna kama wewe
Hakuna hakuna, hakuna kama wewe
Hakuna hakuna nasema, hakuna kama wewe
Hakuna hakuna naimba, hakuna kama wewe

Jam - Man of Sorrow
Album Man of Sorrow
date de sortie
20-09-2015

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.