paroles de chanson Raha Tele - Aslay , Jay Melody
Ah,
aahh,
ayayaya
Mpaka
raha
Unavyoonesha
maajab
Unanipa
mapenzi
huchaguisana,
mtoto
nikab
Madhara
ukivifuata
vibabu
Ukatae
tembele
uchague
nyama
unieke
roho
juu
Hatari
sana
Mtoto
kulbaiya
Unavyonipa
umoto
Hatari
ukinibania
Unainjoi
sana
michezo
ya
kukutania
Na
chai
tule
ukoko
Usiku
wali
bamia
Mapenzi
yetu
mi
na
wewe
Raha
tele,(ayaya)
Raha
tele,
(ayayaya)
Raha
tele,
(ayaya)
Raha
tele
Mapenzi
yetu
mi
na
wewe
Raha
tele,
na
kisura
Raha
tele,
(ayaya)
Raha
tele,
(oh
ooh)
Raha
tele
Mapenzi
yetu
mi
na
wewe
(Ouuh)
Nijuze,
Nijuze
kipi
kinafanya
unalia,
(ooh)
Nieleze
mama
Nieleze
maana
nshaanza
kuchanganyikiwa
(Aah)
Ruksa
kunifanya
chambo
Wakikuzingua
nikapambane
Nikulinde
kama
mgambo
Ili
mashorobalo
wasikuone
Koleza
mama
Koleza
nazi
kwa
mchele
Isambaga
tuwaachie
wenyewe
Koleza
darlin
Koleza
nazi
kwa
mchele
Isambaga
tuwaachie
wenyewe
Raha
tele,(ayaya)
Raha
tele,
(ayayaya)
Raha
tele,
(ayaya)
Raha
tele
Mapenzi
yetu
mi
na
wewe
Raha
tele,
na
kisura
Raha
tele,
(ayaya)
Raha
tele,
(oh
ooh)
Raha
tele
Mapenzi
yetu
mi
na
wewe
Raha
tele
Nasikia
raha,
raha
tele
Nasikia
furaha,
raha
tele
Kuwa
na
wewe,
raha
tele
Naona
raha,
raha
tele
Oh
babe
mama,
raha
tele
Nakupenda
sana,
raha
tele
Raha
tele,
raha
tele
Raha
telee
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.