Jay Melody feat. Dogo Janja - Mikogo Sio paroles de chanson

paroles de chanson Mikogo Sio - Dogo Janja , Jay Melody



Eeh eeeh aaah aaah oooh ooh (Charles
Clinton) mmh hmmm wakati we ukiwa na Mimi unajishaua
Mashauz mengi kujishebedua
Najiulizaga kwanini unasasambua
Kwa marafikiii aaibuu
Basi nambie wewee kama unataka jina
Kwajili yako unafanya mwenzako nikose heshima vipi
Nikueleweje au bado unapima maji ya shingo utaniua mamaa umezidi kina
Unataka kiki sio (aaa eeh)
Io mikogo sio (aaah eeh)
Utakuja kunifelisha mwenzako (samahani)
Badman yoooh
Niliamini unanifaa
We ndo mamaa
Asaa iweje unapagawa na ustaa
Zuku bambataaa bolingo chalangaa
Nilizicheza kwenye Giza kwenye taa
Ujue mi bila we nafeli
Ona nakonda kideli (oooh kideli mama)
Na mambo unayofanyaga ndo yanafanya nipagawee
Ujue mi najuaga kwako Niko mwenyewe na kumbe mazigizaga
Maporomoko ya mawee
Unavonifanyiaga ndo balaa
Basi nambie wewee kama unataka jina
Kwa jili ako unafanya mwenzako nikose heshima
Vipi nikueleweje au bado unapima
Maji ya shingo utaniua mama
Umezidi kina
Unataka kiki sio (aaah eeh)
Io mikogo sio (aaah eeh)
Utakuja kunifelisha mwenzako
(Samahani)



Writer(s): Sharif Juma


Jay Melody feat. Dogo Janja - H.E.R.
Album H.E.R.
date de sortie
08-10-2018



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.