paroles de chanson Chini - Jay Melody
Mmmh...
OLaLah
Mmmh
Mmmh!
Ona
Nakupenda
sana
usije
nipanga
kama
Nyanya
Ukaniona
tu
mi
sina
mana
ukanichezesha
mchana
mchana
Ila
we
nipeleke
utakavyo
maah
mi
siwezi
kubisha
kwa
lolote
Kwa
wengine
acha
nijidai
kwako
mjinga
mie
kolo
Unanichanganya
ukipita
na
kimini
uani
umenitobolea
kipini
Kati
uwo
ukiwa
mwendo
kama
jini
vimaswali
baby
unataka
nini
Hivi
Hivi
kwa
nini
ukianzaga
hunipaga
nyama
ulimi
Tena
ulivyo
mtundu
kama
nn
unavyokatika
Mpaka
chini
Mpaka
chini
Mpaka
chini
Unavyokatika
iyo
mizungu
siamini
×2
Mmmh!
Aaah
mmh
Mmmh!
Hayo
malavidavi
yamenikamata
Leoo
naongea
Na
nilivyo
sijiwezi
naelekea
kudata
but
I
don't
care...
Sina.
wakunipa
mapenzi
zaidi
yako
mi
sina
Mmh!
Na
ukijaga
kuniacha
mwenzako
nta
China
Mmh
nakupenda
kinyama
kwel
mi
sina
Aah
Nasinzia
nikukuwaza
ooh
baby
Unanichanganya
ukipita
na
kimini
uani
umenitobolea
kipini
Kati
uwo
ukiwa
mwendo
kama
jini
vimaswali
baby
unataka
nini
Hivi
Hivi
kwa
nini
ukianzaga
hunipaga
nyama
ulimi
Tena
ulivyo
mtundu
kama
nn
unavyokatika
Mpaka
chini
Mpaka
chini
Mpaka
chini
Unavyokati
uyo
mizungu
siamini
×2
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.