paroles de chanson




Raundi tumeamua ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Chuma ya zamani ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Raundi tumeamua ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Chuma ya zamani ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Anayepeleka wamama kwa kambuni za wahindi (Ni sumura)
Anayepeleka vijana kwa kambuni za wahindi (Ni sumura)
Anayepatia na vitabu mashule (Ni sumura)
Watoto wetu wasome, wakipita wata pata kazi
Kwa sababu (Ya sumura)
Raila Amollo Odinga anasema (Ni sumura)
Kalonzo Musyoka na yeye anadai (Ni sumura)
Moses Wetangula eeeh (Ni sumura)
Raundi tumeamua ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Chuma ya zamani ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Raundi tumeamua ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Chuma ya zamani ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Nimekuja raundi huu ndio mjiwe ni nane
Embakasi ni sumura chuma ya zamani
Ka wenu mpinzani itabidi zamaani
Chu tulishamua ni sumura toka zamani
Mzee Tesi wa kijiji wakati napombolewa
Ikishika moto Brigade ashai leta
MC Issa amejenga nyumba ya manyatima
Car wash pia amefungulia vijana
Anaomboleza na Sisi wakati wa matanga
Anatuambia ukweli awezi akatupanga
Kiongozi Vitendo na sio panganga
Tukilemewa na Billson atatolea Kenyatta
Sumura kika ni kiongozi shufavu
Willy Chia pia anapatia walemavu
Watoto wanapeleka Indo pa rishini ya moyo
Chuma ya zamani ila usafi
Raundi tumeamua ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Chuma ya zamani ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Raundi tumeamua ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Chuma ya zamani ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Patibabu ya macho na miwani ya bure
MC Issa pia amejenga mashule
Anajua shida zetu watu wa Embakasi
That's why tumemchagua tufanye kazi
Amekuwa muvumilivu acha kule mbivu
Sera zake ni safi, sitoshe sanifu
Raundi ni sumura chuma ya zamani
Amekuparika na kila mtu
Embakazi kusikuza
Ni sumura, ni sumura
Kwa njenga yote ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Kwa rembe yote ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Kwa reti utawapigia nani?
Ni sumura, ni sumura
Paipu tutawapigia nani?
Ni sumura, ni sumura
Imara na Iman ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Vijana wa Mama ni nane?
Ni sumura, ni sumura
Wazee wameidhinisha nani?
Ni sumura, ni sumura



Writer(s): Jere



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.
Chargement
Chargement