Josh Abrahams - Step into Paradise paroles de chanson

paroles de chanson Step into Paradise - Josh Abrahams



Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu ee
Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake
Lete nitamlea, usitoe mimba yangu ee
Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
Huenda akawa Obama, atawale Amerika
Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda
Huenda akawa Onyama, acheze soka Uingereza
Huenda akawa Kenyatta, Mwanzilishi wa taifa
()
Nitamlea oooh ooh
Huenda akawa Maathai, ailinde mazingira
Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga
Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania
Huenda akawa Mandela, mkombozi wa Afrika
()
(... Guitar...)
Nakuomba Nerea, Nerea, Nerea. Usitoe mimba yangu (2*)
Huenda akawa Kagame, atawale
Jaramogi Odinga, tuungane
Huenda akawa Tom Mboya, huenda akawa Rudisha, huenda akawa malaika Mungu ametupatia
Huenda akawa Sauti Sol (sauti sol)
Huenda akawa Amos and Joe
Huenda akwa yeaaah
Huenda akawa malaika Mungu ametupatia.
(THE END...)



Writer(s): Josh Abrahams


Josh Abrahams - The Satyricon




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.